lenyu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 447
- 497
Ww ni wale wale ccm wajumbe ndio tuKuna unafiki gani kamanda mwenzangu?
Iyo sio tenda ya mahera ni tenda inayotumia Mali za umma na mchakato wowote unaohusu Mali za umma kanuni na Sheria lazma zifuate.
Vinginevyo ni upigaji Kama upigaji mwingine wa 1.5T