Na kwa kuongezea yanatishia uhai wa watu na mali zao maana kuna tabiri nyingi za kupasuka. Sijui wenyeji wanajisikiaje wakiyasikia haya...Tanzania ni nchi ya ajabu.
..mvua zikiadimika mabwawa hayazalishi umeme.
..mvua zikinyesha mabwawa hayazalishi umeme.
Ni wananchi wanataka majibu.Siyo CHADEMA. Kunguni wewe!View attachment 2957063
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.
Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.
Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida, wewe unaleta picha ya bwawa lililopasuka! Uelewa wako ni mdogo, kwa hili sihitaji kujadili.View attachment 2957063
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.
Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.
Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Hebu tuwekee hapa official statement ya Chadema juu ya haya madai yako. Nyie hata mkishindwa kuwatia mimba wake zenu lazima muitaje Chadema.View attachment 2957063
Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere.
Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani.
Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya masikini wa katesh imepotelea wapi?
Yani uzembe bwawa likijaa maji?
Si mlisema halitajaa?
Hatuwezi kuwapa dola ikiwa wanashinda kuaminika kwa vijisenti vidogo wakikabidhiwa BOT itakuwaje!Mbowe na genge lake la wahuni wametafuna michango ya watanzania waliojitolea
Rufiji mafuriko hayajaanza mwaka huu trace back miaka ya 1970,1980 na kubwa kuliko 2020 hili la bwawa ni kiki tu