Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Aliyeonja nyama ya mtu haachi. CCM ni wanyonya damu, wanaona fursa wananchi wanapopatwa na maafa. Fikiria 1970 hadi 2024 ni miaka 54!..kama mafuriko yamekuwa yakitokea tangu miaka ya 70, 80, 90, kwanini mpaka leo hamjatoka na mbinu ya kukabiliana au kudhibiti mafuriko?
Mtoto anazaliwa CCM IPO, anaanza shule CCM IPO, anamaliza shule CCP ipo, anaajiriwa CCM IPO. anaoa/anaolewa CCP IPO, anazeeka CCM IPO...duh!