CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

..kama mafuriko yamekuwa yakitokea tangu miaka ya 70, 80, 90, kwanini mpaka leo hamjatoka na mbinu ya kukabiliana au kudhibiti mafuriko?
Aliyeonja nyama ya mtu haachi. CCM ni wanyonya damu, wanaona fursa wananchi wanapopatwa na maafa. Fikiria 1970 hadi 2024 ni miaka 54!

Mtoto anazaliwa CCM IPO, anaanza shule CCM IPO, anamaliza shule CCP ipo, anaajiriwa CCM IPO. anaoa/anaolewa CCP IPO, anazeeka CCM IPO...duh!
 
Kwa hiyo Tanzania mtu yeyote akihoji kitu anakuwa Chadema na nyie sisiemu mnampa kadi ya uanachama siku hiyo hiyo?
 

1. Wacha uchawa ndugu kwa vile tu eti si mhanga.

2. Tangu lini haya yakatokea huko kabla ya bwawa hili?

3. Serikali iwajibike kuwa fidia wahanga ipasavyo na wahusika kuwajibishwa!
 
Inasikitisha karne ya leo bado kuna wajinga.Pole sana.
 
Mkuu soma mwenyewe ulichoandika
 
Yaani mkakae eneo la bonde wenyewe alafu mje kutusumbua tz kubwa kuna maeneo hayajawahi kanyagwa mkishindwa mhamie msumbiji

Siku nyingine usidhani kila moja ni ccm penye ukweli pasemwe
 
Yaani mkakae eneo la bonde wenyewe alafu mje kutusumbua tz kubwa kuna maeneo hayajawahi kanyagwa mkishindwa mhamie msumbiji

Siku nyingine usidhani kila moja ni ccm penye ukweli pasemwe

.Je, ni lini serikali ilielekeza wananchi wa Rufiji wahame na wao wakakaidi?

..serikali si ilikuwa inakusanya kodi na kuwapelekea huduma wananchi ktk maeneo ambayo sasa yamekumbwa na mafuriko?

..Ccm itakuwa inakosea kutokutoa msaada ktk janga la mafuriko ya Rufiji.
 
Mtajuana wenyewe na serikali yenu yaani janga unaliona hili hapa unasubiri mpaka uambiwe ndo utope?Kisa nini fidia? Does it worth more than your life
 
Rubbish!
 
Kama mwenyekiti wa Chadema.
 
Wewe umejiona Una hoja hapa? Watu wanapoteza maisha na Mali unaongelea join the chain fedha ambayo ikishatolewa maelezo na waliotoa waliridhika na matumizi? Unakwenda kuchimba Bwawa bila kupembua athari za mazingira halafu unataka watu wakae kimya? Mwaka 2022 bonde la Rufiji lilipata mvua nyingi lakini hatukuona mafuriko, why Sasa? Kutetea ujinga ni dalili kubwa za Uzuzu.
 
Nipe maelezo yaliyotolewa ya pesa za join the chain na michango ya katesh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…