Uchaguzi 2020 CHADEMA, tafuteni television station itakayorusha kampeni zenu mubashara

Ahahahaha! Unataka wapitishe tena bakuli la mchango kwa ajili ya TV
 
Jamani tunaomba lipite bakuli la CDM humu, tutoe buku buku zetu, msione aibu hata kama mlifuja ruzuku na michango ya wabunge wenu.
 
Umeandikaa maelezo mareeefu alafu pumba
 
Lissu anakuja na mpango wa kuwalipa wafanyakazi ongezeko la mishahara ya miaka 5 ambayo Mzee Pombe ameshindwa kufanya.
Lissu anarudisha utaratibu wa deni la mkopo wa chuo kulipwa kwa 3% kama mkataba unavyotaka na sio kama Mzee Pombe alivyobadilisha na kuwa 15% na kuwaumiza watoto wa masikini.
Lissu anakurudisha fao la kujitoa ambalo serikali ya Mzee Pombe imewanyanyasa mno wale waliachishwa kazi kabla ya miaka 60
N.K
 
kuweza ku-survive hadi Leo peke yake ni ishara ya ushindi mkubwa sana. Wanafanya kila wanaloweza kukimaliza chama, but kila wakijaribu Mungu anazidi kuwainua.

Lakini we must all agree there was mismanagement of part funds/ mis allocation of party funds/ wrong priorities of party funds/ misuse of party funds.

For some of us who have been card-carrying members of Chadema for over 17 years, we believe PRUDENCE has been lacking in many party management functions.

We are now in the midst of the requiem mass of the party lately, though we saw it coming. We shall remain with the shell of the party not in a shape and followers we have it today by 29th October 2020.

The entire party leadership must retire just after elections November, 2020 as it is a norm in other democracies world over for new leadership to revamp the party.
 
That's how you see things working from your end! Can't argue but we all know what Chadema has been going through! All state organs were working day and night to weaken the party, I don't care if at all there were minor ups and downs, what concerns me it is the wellbeing of Chadema! We shall Overcome
 

I would discuss with you seriously obout the survivability of Chadema later today, but i shall be back to Shingatini from Msangeni in 4 hours. Shall discuss with you about the matter and relevantly.
 
Wanaogopa au wamewapiga bao? Wameanza kutoa Ilani yao na sasa kila hoja yenu wana mamlaka ya kusema: Tumetekeleza na tutaendeleza utekelezaji mkitupatia
Maisha ya watz yameendelea kuwa mabaya zaidi.... Sasa mmetekeleza wapi? Chato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…