Chadema Taifa kwa sasa haina Umoja, Mpambanaji wa kweli ni tu ndugu Lissu

Chadema Taifa kwa sasa haina Umoja, Mpambanaji wa kweli ni tu ndugu Lissu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Chadema kwa sasa haina taswira nzuri hasa katika ngazi ya secretariat yao, inashangaza kuona jambo muhimu kama amsha amsha ya Ngorongoro aonekane Lissu peke yake.

Tunatarajia kamati za juu za chadema kikosi kikamilike kwenye ziara ya maeneo nyeti ya jicho la Dunia hapa Tanzania. Jopo la wanasiasa wa chadema wajipange kwa nguvu zote kupambana na ukombozi wa wamasai wa Ngorongoro na Loliondo.

Nawasilisha tafakuri kwa chadema

Shukrani 🙏🙏🙏🙏🙏

Wadiz
 
Ni strategy tuu kuna kipindi Mbewe alikua Kama mwenyewe, akafungwa mara hili Mara lile.kuna kipindi Alikua Sugu Mara afungwe, Mara hivi,Kipindi Lema .Hawa jamaa wanapeana time ili ikitokea mmoja yuko shidani wengine waje kumuokoa alipo huko kwa shida.
 
Mama alienda kwenye shughuli ya sugu,jk alisaidia jamaa toka Canada kurudi..nyuso Zina haya
 
Inawezekana ni strategy ya kumwandaa mgombea wao mapema. Anapata muda wa kutosha kuzunguka nchi nzima bila kuwa overshodowed na viongozi wengine.
 
Chadema kwa sasa haina taswira nzuri hasa katika ngazi ya secretariat yao, inashangaza kuona jambo muhimu kama amsha amsha ya Ngorongoro aonekane Lissu peke yake.

Tunatarajia kamati za juu za chadema kikosi kikamilike kwenye ziara ya maeneo nyeti ya jicho la Dunia hapa Tanzania. Jopo la wanasiasa wa chadema wajipange kwa nguvu zote kupambana na ukombozi wa wamasai wa Ngorongoro na Loliondo.

Nawasilisha tafakuri kwa chadema

Shukrani 🙏🙏🙏🙏🙏

Wadiz
Hayo ni matokeo ya BAVICHA ya Pambalu.
 
Back
Top Bottom