Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Chama kipi Inkatha Freedom Party (IFP) au EFFNaona unaifatilia CHADEMA kuliko hata chama chako.
Hayo ni matokeo ya BAVICHA ya Pambalu.Chadema kwa sasa haina taswira nzuri hasa katika ngazi ya secretariat yao, inashangaza kuona jambo muhimu kama amsha amsha ya Ngorongoro aonekane Lissu peke yake.
Tunatarajia kamati za juu za chadema kikosi kikamilike kwenye ziara ya maeneo nyeti ya jicho la Dunia hapa Tanzania. Jopo la wanasiasa wa chadema wajipange kwa nguvu zote kupambana na ukombozi wa wamasai wa Ngorongoro na Loliondo.
Nawasilisha tafakuri kwa chadema
Shukrani πππππ
Wadiz