CHADEMA: Tanzania itakombolewa na wenye Moyo

Hatupaswi kuogopa,kunyong'onyea Wala kuonyesha utumwa katika nchi.safari nahisi soon inakwenda kutia nanga.umoja wetu ndiyo ukombozi wa vizazi 1000 vijavyo.Hatuwezi kulala wakati watoto na ndugu zetu hawajui hatima ya kesho Yao.
 

Ninaunga mkono hoja:

10. Kwa mpaka sasa bado haijaonekana hata chembe ya dalili ya kutoka hapa tulipo, kazi kubwa bado haijaanza kufanyika.

Cc: antimatter, mwanawao, Kalunya
 
..kongamano la katiba mpya na ziara ya viongozi wa Chadema Chato.

 
..kongamano la katiba mpya na ziara ya viongozi wa Chadema Chato.

Jitihada hizi hazipaswi kupoa bila kujali nani anasema nini. Harakati zisizokoma kama hizi zitatukomboa.
 
..Mnyika akifanya kazi ya ujenzi wa chama mikoani ktk ngazi ya msingi.

 
..BAWACHA Kilombero wakihamasisha.

..Kuna watu wanafanya kazi za chama.

..Tunapaswa kuwatia moyo.


Cc Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…