CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,563
Reaction score
5,170
Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
 
Heche ataendelea kuongea kama kiongozi wa chama, sio kutegemea upepo wa Polepole boss.
Hizo ndio akili timamu, chadema haipaswi kuendesha mambo yake kwa kufuata upepo wa Polepole
 
Katika watu hawajui kusukuma kete vizuri ni Chadema, utashangaa Lemma anatoka kumpinga polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…