kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.