Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Pamoj na kujipendekeza kwako kwa Mbowe, lkn bado umepuuzwa na genge lake hapa mtandaoni. Hakuna alie Like post yako, na hakuna alieku quote. Bila shaka ushajifunza kwamb genge lake lina watu maalumu, na sio kila mtapikaji ni ndugu au mtu wao.