Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama watafanya hivyoYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
Ustaarabu huo hawana.....wautoe wapi ?!!!Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu Kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
Aibu ingewapata nyie maccm pale utetezi ungeanza msingekuja kusahau. Kibatala angewadhalilisha vibaya. Mmeomba poo 🙌 mmekimbia kama mapanya.. Poleni sana. Mbowe ni mziki mneneYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu Kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
Mkuu kinje ketile , asante kwa hoja hili , utadhani ulikuwa mawazoni kwangu, hili nimetoka kulisema muda sii mrefu CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na WatanzaniaYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
Hatushukuru. Tungeshinda kesi na fidia ingelipwa. Lingwenya angeibuka tajiriYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
hivi ikulu unaweza kwenda muda wowote ukitaka? Kutoka jela hadi ikulu ?Wanasiasa Sio Watu wa Kuwaamini...! Hivi huyu Mbowe anatuonaje Sisi WaTz, Yaani kuachiwa tu Kashatinga Ikulu Kunywa Kahawa na Mama.....!
Kwisha habari Yake...Hakuna cha KATIBA wala BATIKA hapo..!
Pole sana mwanaccmYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
We kima nn, asante ya nn wakati watu wamenyimwa haki zao kwa michongo yaki makimakiYaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
tatizo nyie chadema huwa hamjui hata mnataka nini? mbowe kamshukuru mama kwa kujali nyie bado hamtaki kushukuru kwani nyie ndiyo mlikuwa ndani? na mwenzenu kishaitwa kwenda kulegezwa kwanza huko ulishaona wapi mtu hata nyumbani hajafika hajatulia anaanzia kwenda ikulu?Ahsante ya nini?
Mtu aliyeonewa amshukuru muonevu wake?
Sijui ni akili za wapi tu hizi!!!
Mbowe keshatoa jana ikuluKwa kweli sisi Chadema tunamshukuru mama, chama kilikuwa kinakufa hiki, na sisi ndio tunapatia ugali wetu humo, tuombe Mungu mama aanze kutupatia na ruzuku na awe anatujumuisha katika ziara nje ya nchi
Kinachowatesa chawa wa CCM Kama mtoa post ni kile kilichoonyeshwa na Rais Samia mwanzoni alipotaka kuliunganisha Taifa, Hawa chawa hawakutaka, Rais Samia akasita kidogo, lakini kwa Sasa Rais Samia anaonyesha uhalisia wa tabia yake kwa kuifungua nchi Kimataifa iliyofungwa na Magufuli, pia kurejesha maridhiano ya Kitaifa ambayo yalivurugwa na Magufuli na chawa wake, si ajabu Hawa chawa kina Shilinde na mtoa post Jana hawakulala kwa hasira.Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea Kamanda.Mama Kajibu maombi...Badala ya Kushukuru nyie 'Wazee Wa Pinga pinga' mmeanza Kuchonga.
Alichofanya Zito ni Kile kile mnakipokea na Kushangilia kama Majuha(Nyumbu).
Embu kuweni Wastaarabu Kwa Kushukuru kwa hilo...huwezi Jua Mama anaweza Kuwadondoshea Mjengo wa Maana Pale Ufipa makao Makuu yenu...Na nyie Muepuke Jina La Saccos isiyokuwa na Makao Makuu.
Ndio Kukosa Fadhila huko....Ogopa sana mpwa Wangu Binadamu yeyote asiyekuwa na fadhila..Hatushukuru. Tungeshinda kesi na fidia ingelipwa. Lingwenya angeibuka tajiri