CHADEMA Toeni Japo Asante Ya Mdomo Kwa Mama

Kwa kweli sisi Chadema tunamshukuru mama, chama kilikuwa kinakufa hiki, na sisi ndio tunapatia ugali wetu humo, tuombe Mungu mama aanze kutupatia na ruzuku na awe anatujumuisha katika ziara nje ya nchi
 
Sidhani kama watafanya hivyo
 
Ustaarabu huo hawana.....wautoe wapi ?!!!

Akina Erythrocyte kazi yao kutanguliza siasa hasimu za dharau ,kedi na chuki tu.....

#Kongole Kwake Mh.Rais SSH
#Siempre JMT🙏
 
Aibu ingewapata nyie maccm pale utetezi ungeanza msingekuja kusahau. Kibatala angewadhalilisha vibaya. Mmeomba poo 🙌 mmekimbia kama mapanya.. Poleni sana. Mbowe ni mziki mnene
 
Mkuu kinje ketile , asante kwa hoja hili , utadhani ulikuwa mawazoni kwangu, hili nimetoka kulisema muda sii mrefu CHADEMA kuweni na shukrani, punguzeni kulalamika, shukuruni kwa yote. Ile kesi mbaya! Shukuruni mahakama, Mashinji, CCM, Magufuli na Watanzania
P
 
Ni wajinga na wapumbavu watakaoona kwamba baada ya siku 226 za Mbowe kukaa gerezani basi Rais Samia kamuonea huruma!

Pressure imemzidi Samia, Political mileage!
 
Hatushukuru. Tungeshinda kesi na fidia ingelipwa. Lingwenya angeibuka tajiri
 
Wanasiasa Sio Watu wa Kuwaamini...! Hivi huyu Mbowe anatuonaje Sisi WaTz, Yaani kuachiwa tu Kashatinga Ikulu Kunywa Kahawa na Mama.....!
Kwisha habari Yake...Hakuna cha KATIBA wala BATIKA hapo..!
hivi ikulu unaweza kwenda muda wowote ukitaka? Kutoka jela hadi ikulu ?
 
Pole sana mwanaccm
 
We kima nn, asante ya nn wakati watu wamenyimwa haki zao kwa michongo yaki makimaki
 
Ahsante ya nini?

Mtu aliyeonewa amshukuru muonevu wake?

Sijui ni akili za wapi tu hizi!!!
tatizo nyie chadema huwa hamjui hata mnataka nini? mbowe kamshukuru mama kwa kujali nyie bado hamtaki kushukuru kwani nyie ndiyo mlikuwa ndani? na mwenzenu kishaitwa kwenda kulegezwa kwanza huko ulishaona wapi mtu hata nyumbani hajafika hajatulia anaanzia kwenda ikulu?
 
Kwa kweli sisi Chadema tunamshukuru mama, chama kilikuwa kinakufa hiki, na sisi ndio tunapatia ugali wetu humo, tuombe Mungu mama aanze kutupatia na ruzuku na awe anatujumuisha katika ziara nje ya nchi
Mbowe keshatoa jana ikulu
 
Kinachowatesa chawa wa CCM Kama mtoa post ni kile kilichoonyeshwa na Rais Samia mwanzoni alipotaka kuliunganisha Taifa, Hawa chawa hawakutaka, Rais Samia akasita kidogo, lakini kwa Sasa Rais Samia anaonyesha uhalisia wa tabia yake kwa kuifungua nchi Kimataifa iliyofungwa na Magufuli, pia kurejesha maridhiano ya Kitaifa ambayo yalivurugwa na Magufuli na chawa wake, si ajabu Hawa chawa kina Shilinde na mtoa post Jana hawakulala kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…