Uchaguzi 2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

Unaongea ndege wakati hata bibibyako hawezi kuzipata. Ushamba ni mzigo

Rais gani Tanzania hakuwahi kujenga dams za umeme?

Rais yupi hakujenga madaraja?
Rais yupi hakujenga barabara?
Kwa hiyo jomba unacholalamika Ni nini hapa...yoote ni CCM.na Wala si chama kingine chochote...upo..CCM hii hi imetufikisha uchumi wa kati
 
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
119976986_720875661975398_6178179625576337321_n.jpg

Kweli zinaonekana
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania

Kuna laana zaidi ya kusaliti Nchi km yule wa Chadema ?


Tunduma msipomchagua Silinde sitawaletea MAJI,

Je, hiyo ndiyo DEMOKRASIA?
 
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.

Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?

Je, huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili?

Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?

Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?

Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?

Na je adhabu aliyopewa mgombea wa CCM kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
Ha ha haa...naona umeongea kimagazijuto na tik tak juu.
 
Back
Top Bottom