Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
Sijui anaongelea Mwanza ipiAaah!! Acha tusherehekee tena ufundi wa Mungu!! Kiongozi muovu akikata moto lazima watu washeherekee!!
Unafikiri wewe ndo mwanza? Acha kuwasemea wanamwanza!! Ngoja uone uwanja utakavyofura kwa nyomi ya watu!!
Na kwa taarifa yako hata sisi CCM asilia tulifurahia sana na kusheherekea!! Kajinyonge sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia mahudhurio ya mkutano wa Lisu ambae mlisema watu walikuwa na hamu nae kutokana na kukaa ulaya muda mrefu, angalia na mahudhurio ya Lowasa ambae hakutoka ulaya, pamoja na Magufuli ili uone utofauti wa kile unachoongea. Picha hizo hapo.Fikra za mwovu, siku zote huwaza uovu. Hayo malori yataenda kubeba watu wa mkoa gani...
[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.Aaah!! Acha tusherehekee tena ufundi wa Mungu!! Kiongozi muovu akikata moto lazima watu washeherekee!!
Unafikiri wewe ndo mwanza? Acha kuwasemea wanamwanza!! Ngoja uone uwanja utakavyofura kwa nyomi ya watu!!
Na kwa taarifa yako hata sisi CCM asilia tulifurahia sana na kusheherekea!! Kajinyonge sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.
Karibuni sana mwanza msisahau haya maneno yenu siku ya mkutano jukwaani tushangilie pamojaKifo cha shetani ni cha kushangiliwa na wote, na CDM hapo mwanza wapo sana. Subiri jmos ndio utajua propaganda mlizokuwa mnajilisha ni utoto tu.
Mpumbavu wewe.Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza? Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu ,tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale ,mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma ganga, mlijua hamtatuhitaji tena?malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana. T
unajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Nani amesema anakutisha, amaunajitisha mwenyewe.Unamtisha nani, hakuna mwenye muda wa kuongea hayo maana haya ni maneno ya mitandaoni, lakini huko mwanza CDM watapiga show kali, na hata wakienda Chato watapeta acha mwanza.