Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
- Thread starter
- #41
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwaraWatakuja, na utabakia na aibu. Tena nashukuru ziara hii imekuja bado nikiwa naendelea na mapumziko hapa hapa. Tena kwenye huo ufunguzi watangaze utaratibu wa kuchangia kuwezesha mikutano.