CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?

Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?

Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.

Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.

Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Hii habari Ukiandika Jana,basi leo inabidi uifanyie editing!
 
Unaongea utadhani umebana mavi sehemu hivi.....kuwa na akili siyo kuandika andika tu
 
Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?

Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?

Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.

Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.

Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Kenge wewe!
 
Chamoto wamekipata. Mahudhurio kiduchu pale Furahisha
 
Kwa walio katika nafasi za uongozi/ utawala, ni bora siku zote wajaribu kuweka uwiano kati ya madaraka na utu.

Kifo ni hatima ya kila mwanadamu lakini pamoja na uchungu wake, bado hakijaweza kuwa fundisho la kutosha kupenya akili za wengi kati yetu.
 
Fafanua zaidi
 
Back
Top Bottom