Kwamba unafurahi ndege kuendelea kupaki na unajiita Mpinzani na unataka upewe Nchi!!!!Kulikua na ulazima wa kununua ndege? Bunge lilijadili na kuidhinisha bajeti ya kununua ndege?
Serikali ilitangaza zabuni ya kununua ndege kama sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka?
Au yalikua maamuzi ya mtu mmoja?
Waliohoji haya unajua walikua wanafanywa Nini?
Sasa hutaki ushauri halafu ukifeli unataka watu wakushangilie?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alinunua ndege Kwa ajili ya nchi Si Kwa familia yake au CCM!!
Uzalendo ktk Nchi IPO chini sana.
Tuna safari ndefu ka Taifa.