CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Marehemu alitubu umwagaji damu alioufanya Kwa watu wasiokua na hatia? Hatubu mtu na hakuna unakachiweza kufanya labda kachomeke na mfu wenu huko motoni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Magu kama alitubu au hakutubu Kwa dhati Tumwachie Mungu,

Hotuba ya Magu Kanisani kabla ya kuugua ilikuwa maombi ya TOBA, fuatilia vizuri.

Lissu Yu HAI na ndiye mwenye nafasi ya kutubu,

Imeandikwa, Baada ya KIFO HUKUMU.

Lissu ATUBU tu, Si vibaya kutubu na ni mbaya kukaza shingo.
Wakati kina kheri jemsi wanasema watawatia mimba wake za wanaompinga dikteta mlishangilia mbona? Wakati nape anasema hatuwezi kupeleka maiti ikulu je? Wakati mfu wenu anasema hela mtaitolea sehemu yoyote ya mwili yenye uwazi si mlishangilia mazuzu nyie? Sasa mbona mkiambiwa ukweli mnapaniki

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sikubaliani na upuuzi wa hao uliowataja, hata makonda alifanya upuuzi mwingi'',

Wapo wapuuzi walishangilia kupigwa risasi, wapo pia walioshangilia kufa Kwa Magu.

Huo wote ni upuuzi na kukosa maadili.

Sisi ni WATANZANIA, Taifa moja, Nchi moja.

Viongozi wa CCM na upinzani wawe mstari wa mbele kusimama ustaarabu, ubinadamu na HAKI za raia wote.

Lisu ATUBU kiungwana kuunganisha Nchi, ndo Uzalendo huo.
 
kwa hii chadema au chadema nyingine.labda wakaanzie moshi.huku tutawalia Hela zao sana ila matokeo yake watamuona Samia kileleni
Wenye hela za kugawa kama njugu ni CCM kanga za bure kofia fulana matenge kugawa fedha, hawa wengine sijaona wakigawa fedha sanasana hua wanachangisha fedha Ili kukijenga chama chao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mtu mwenye fikra huru.

Simchukii LISU. Namkubali Lissu ktk yafuatayo.

1. Ni JASIRI 2. INTELLIGENT 3.Mwanasheria mahiri. 4. Mtetezi wa wananchi wasio na uwezo.

MAPUNGUFU ya LISSU.

1. Kutokubali STRENGTH za WAPINZANI wake.

Mfano mzuri ni jinsi alivyopinga Kila kitu alichofanya Magu, upinzani wa namna hii ni WA kizamani.

Anatakiwa kukubali ikiwa Watawala wamefanya vizuri ktk jambo Fulani na baada ya hapo akatoa namna Bora zaidi ambayo wao wanaweza fanya wakipewa nafasi.

2. KUTETEA BARRICK na ACCACIA.

Mtu huyu sijawahi kumuelewa labda kama nitakutana naye na kuhojiana naye face to face.

Alikubali AJIRA ya kuwatetea Kampuni inayokandamiza wananchi. Akalipwa pesa na akasimama dhidi ya Serikali ktk case za kimataifa,

Kwangu mm nilimuona kama msaliti. Alipasa ajiuzulu uongozi wa CDM Ili akafanye KAZI yake kama professional Kwa maslah yake binafsi na Si kukaa nafasi zote mbili.

.
Hao Barric waliingia mkataba wa uchimbaji madini na Lissu? Unampangia aache kuwa mpinzani wewe kama nani? Kazi ya upinzani ni kukosoa wewe sifia tatizo liko wapi? Unataka Kila mtu apende unachopenda wewe? Fungua fuvu hilo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA hawana sera za kuwaambia Wanamwanza, kiufupi hawana sera kabisa safari hii. Watakuja na maneno ya uchonganishi tu, na kumbukizi za wapendwa wao walitangulia mbele za haki. Mambo waliyo yapigia kelele mtangulizi wa Rais Samia alianzisha machakato na sasa Rasi Samia anamalizia kuyafanya na mengine mengi anayashughulikia. Yule gaidi uchwara tangu aachiwe hana nguvu kisiasa, zaidi kunasiku anaweza akaunga mkono juhudi maana ile kesi ilikua inamuondoa kwenye mstari.
Ndio muwaache sasa tuwasikie kama hawana sera mbona mnawashwawashwa?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tulisikitika tulipopata habari za Lissu kuishambuliwa,

Tulimwombea CCM, CDM na vyama vingine vya upinzani na Mungu akatusikia.

Haikuwa sawa kushangilia kifo Cha Magu hata kama alifanya mabaya, sababu Pana mengi MAZURI alifanya.

Mungu awape CDM hekima kuomba msamaha Ili kuwaunganisha wananchi na Taifa Kwa ujumla Kwa ustawi wa Taifa letu.

Aamen.
 
Msaliti kushambuliwa ni kawaida tu
 
Hao Barric waliingia mkataba wa uchimbaji madini na Lissu? Unampangia aache kuwa mpinzani wewe kama nani? Kazi ya upinzani ni kukosoa wewe sifia tatizo liko wapi? Unataka Kila mtu apende unachopenda wewe? Fungua fuvu hilo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tafsiri ya upinzani ni ipi?

Upinzani Si kupinga Kila kitu,

Lissu alipinga Kila kitu alichofanya Magu kiwe kizuri au kibaya.

Upinzani ni kuleta changamoto mpya, kukubali MAZURI ya aliyepo na kusema Cha ziada unaweza fanya ikiwa utapewa nafasi ya aliyepo madarakani.
 
Kusanya ukoo wako mzima mje kuzomea uone mnafikiri tupo enzi za mwendakuzimu?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Nendeni jukwaani mkamsifu mama kwa hisani aliyiwapa,halafu kima mmoja ajifanye fuse imechomoka,aropoke kwamba jpm aliwanyima haki hiyo.

Vinginevyo chuki dhidi yake ni rohoni na nyuma ya infinix zenu tu.
 
Magu kama alitubu au hakutubu Kwa dhati Tumwachie Mungu,

Hotuba ya Magu Kanisani kabla ya kuugua ilikuwa maombi ya TOBA, fuatilia vizuri.

Lissu Yu HAI na ndiye mwenye nafasi ya kutubu,

Imeandikwa, Baada ya KIFO HUKUMU.

Lissu ATUBU tu, Si vibaya kutubu na ni mbaya kukaza shingo.

Sikubaliani na upuuzi wa hao uliowataja, hata makonda alifanya upuuzi mwingi'',

Wapo wapuuzi walishangilia kupigwa risasi, wapo pia walioshangilia kufa Kwa Magu.

Huo wote ni upuuzi na kukosa maadili.

Sisi ni WATANZANIA, Taifa moja, Nchi moja.

Viongozi wa CCM na upinzani wawe mstari wa mbele kusimama ustaarabu, ubinadamu na HAKI za raia wote.

Lisu ATUBU kiungwana kuunganisha Nchi, ndo Uzalendo huo.
Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.

Lissu Hana kosa lolote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?

Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?

Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.

Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.

Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Kukata moto kwa jiwe kulinipa furaha sana
 
Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.

Lissu Hana kosa lolote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una picha ya Magu ikimuonyesha akimiminia risasi Lissu?

Masuala ya kimfumo Si sawa kuyapersonalize.
 
Lissu atubu Kwa kosa Gani? Hivi mtu kakushindilia risasi 38 mwilini Mungu kakuponya halafu kamuua adui yako utaacha kumshukuri Kwa matenda yake makuu? Hata waisraeli walitunga wimbo wa kumshukuri na kumsifu Mungu baada ya kumwangamiza Farao na majeshi yake kule bahari ya Shamu.

Lissu Hana kosa lolote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Una ushahidi? Na kama ushahidi unao kwa nini hupeleki mahakamani?

Alafu msaliti kupigwa ni jambo la ajabu?uliona chacha wangwe kilichompata baada ya kumsaliti Mbowe?
 
Msaliti kushambuliwa ni kawaida tu
Unaona ulivyokua na chuki sasa?

Ila MUNGU fundi bwana tuache masihara[emoji23][emoji23]

Umezingirwa na makomando usalama silaha kama zote, madaktari bingwa ila bado unakufa kikondoo huku uliyemshindilia risasi kama mvua unamuacha akiwa mzimaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kama unabisha nenda pale Chato kaburini mwambie aamke aje kumpiga Lissu hata kibao

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom