CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Ukweli usemwe kila nikisikia cdm namkumbuka Magufuli,yaani kuna vile naboeka.
Wakwende kabisa.
 
Mungu hafurahii KUFA Kwa mtu MWOVU, Yeye ndo aliwaumba wote na huwasubiri watubu Ili awasamehe.

Kama Mungu hafurahii jambo Hilo, sisi ni nani tushangilie?

Roho ya KUTOSAMEHE, na VISASI ikome ktk Nchi yetu nzuri TANZANIA.

Aamen
 
Tafsiri ya upinzani ni ipi?

Upinzani Si kupinga Kila kitu,

Lissu alipinga Kila kitu alichofanya Magu kiwe kizuri au kibaya.

Upinzani ni kuleta changamoto mpya, kukubali MAZURI ya aliyepo na kusema Cha ziada unaweza fanya ikiwa utapewa nafasi ya aliyepo madarakani.
Wewe unafkiri unachokiona ni kizuri basi kinakua kizuri Kwa Kila mtu? Hata huyo mkeo/mumeo unayemwona ni mzuri wengine wanamwona kituko

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tunapokwenda kuandika KATIBA mpya, vyama vya siasa vidhibitiwe.

Sera zao zilenge kuisaidia Nchi kupata Maendeleo.

Vyama kinzani vya sasa vinaombea chama tawala kuharibu Ili wao wapewe nafasi.

Ndomana sasa watu wanafurahi ndege zilizonunuliwa kupaki bila kufanya KAZI,

Chama makini kingekuja na ushauri juu ya nn kifanyike Ili ndege zifanye KAZI sababu zilinunuliwa Kwa MKOPO ambao Wananchi wote na vizazi vyetu vitakuja kulipa.

Kushangilia mambo hayo kipuuzi hatutaenda popote kama Nchi.

Aamen.
 
Una ushahidi? Na kama ushahidi unao kwa nini hupeleki mahakamani?

Alafu msaliti kupigwa ni jambo la ajabu?uliona chacha wangwe kilichompata baada ya kumsaliti Mbowe?
Na wewe kama una ushahidi kuhusu chacha wangwe peleka mahakamani

Chacha wangwe kafa Kwa ajali uchunguzi umefanyika ikaonekana ni ajali kama ajali nyingine, Lissu kashambuliwa Kwa maelekezo yenu ndio maana unasema ni msaliti Kwa mtazamo wako.

Kwa Nini walinzi waliondolewa muda mchache kabla Lissu hajashambuliwa?

Kwa Nini CCTV camera ziling'olewa baada ya shambulizi?

Kwa Nini mlikataa uchunguzi huru Ili kubaini kilichotokea wauaji wakubwa nyie

Kama unaamini muhusika ni Magu pekee,

Tangu Amefariki, ni miaka miwili imepita, mbona uchunguzi Haufanyiki?

Hujifunzi kitu hapo?
 
Leo mwanachadema wa bawacha pia amekata moto. Shangilia saasa
Hakuna kupotezwa Tena na wasiojulikana, hakuna maiti kuokotwa Tena ufukweni, hakuna kutishia kupigwa sisi na shangazi zetu Tena, hakuna kudhalilishwa Kwa kuitwa wapumbavu majukwaani Tena, mama Janeth mwenyewe kanawiri kama shina la mgomba.

Mungu atupe Nini Tena?

Zamu yenu mlokua mnafaidika na ukatili wa yule dhalimu kulia so tuvumiliane tu Kwa kweli

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tunapokwenda kuandika KATIBA mpya, vyama vya siasa vidhibitiwe.

Sera zao zilenge kuisaidia Nchi kupata Maendeleo.

Vyama kinzani vya sasa vinaombea chama tawala kuharibu Ili wao wapewe nafasi.

Ndomana sasa watu wanafurahi ndege zilizonunuliwa kupaki bila kufanya KAZI,

Chama makini kingekuja na ushauri juu ya nn kifanyike Ili ndege zifanye KAZI sababu zilinunuliwa Kwa MKOPO ambao Wananchi wote na vizazi vyetu vitakuja kulipa.

Kushangilia mambo hayo kipuuzi hatutaenda popote kama Nchi.

Aamen.
Kulikua na ulazima wa kununua ndege? Bunge lilijadili na kuidhinisha bajeti ya kununua ndege?

Serikali ilitangaza zabuni ya kununua ndege kama sheria ya manunuzi ya umma inavyotaka?

Au yalikua maamuzi ya mtu mmoja?

Waliohoji haya unajua walikua wanafanywa Nini?

Sasa hutaki ushauri halafu ukifeli unataka watu wakushangilie?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?

Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?

Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.

Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.

Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.

Hahaha wewe YIMBO imekula kwako ,ulikuwa unamtukana Mama kwasasa naona umeoptea......Subiri uone shazi la watu kwenye mikutano ya chadema....Huyo mtu wenu alikuwa anapendwa na "Mazezeta" wasiojua kuchambua mambo.
 
Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?

Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?

Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.

Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.

Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Tanzania ilifurahi wakiongozwa na ccm siyo chadema acha kujitoa ufahamu, kanda ya ziwa bado ni chadema damdam subiri siku ifike
 
Mungu hafurahii KUFA Kwa mtu MWOVU, Yeye ndo aliwaumba wote na huwasubiri watubu Ili awasamehe.

Kama Mungu hafurahii jambo Hilo, sisi ni nani tushangilie?

Roho ya KUTOSAMEHE, na VISASI ikome ktk Nchi yetu nzuri TANZANIA.

Aamen
Wazalendo hufurahi pale msaliti anapopigwa risasi
 
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwani Lisu na Mobwe ndiyo waliosema "watu wema hawafi?"
 
Tunapokwenda kuandika KATIBA mpya, vyama vya siasa vidhibitiwe.

Sera zao zilenge kuisaidia Nchi kupata Maendeleo.

Vyama kinzani vya sasa vinaombea chama tawala kuharibu Ili wao wapewe nafasi.

Ndomana sasa watu wanafurahi ndege zilizonunuliwa kupaki bila kufanya KAZI,

Chama makini kingekuja na ushauri juu ya nn kifanyike Ili ndege zifanye KAZI sababu zilinunuliwa Kwa MKOPO ambao Wananchi wote na vizazi vyetu vitakuja kulipa.

Kushangilia mambo hayo kipuuzi hatutaenda popote kama Nchi.

Aamen.
Una akili sana mkuu,upinzani wa kuombea mabaya nchi siyo upinzani
 
Na wewe kama una ushahidi kuhusu chacha wangwe peleka mahakamani

Chacha wangwe kafa Kwa ajali uchunguzi umefanyika ikaonekana ni ajali kama ajali nyingine, Lissu kashambuliwa Kwa maelekezo yenu ndio maana unasema ni msaliti Kwa mtazamo wako.

Kwa Nini walinzi waliondolewa muda mchache kabla Lissu hajashambuliwa?

Kwa Nini CCTV camera ziling'olewa baada ya shambulizi?

Kwa Nini mlikataa uchunguzi huru Ili kubaini kilichotokea wauaji wakubwa nyie

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Dereva wa Lisu anajua kila kitu lakini amefichwa na Lisu mwenyewe!!!
 
Hakuna kupotezwa Tena na wasiojulikana, hakuna maiti kuokotwa Tena ufukweni, hakuna kutishia kupigwa sisi na shangazi zetu Tena, hakuna kudhalilishwa Kwa kuitwa wapumbavu majukwaani Tena, mama Janeth mwenyewe kanawiri kama shina la mgomba.

Mungu atupe Nini Tena?

Zamu yenu mlokua mnafaidika na ukatili wa yule dhalimu kulia so tuvumiliane tu Kwa kweli

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Msaliti kupigwa risasi ni jambo la kawaida sana, eti tutashitakiwa MIGA!!!

Mwambie hata sasa hivi amsaliti Rais Samia uone
 
Back
Top Bottom