SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Kafanye kwanza plastic surgery kurudishia marinda yako ndiyo urudi hapa.Amsterdam anakutandika kweli kweli vya mwisho mwisho
Kafanye kwanza plastic surgery kurudishia marinda yako ndiyo urudi hapa.Amsterdam anakutandika kweli kweli vya mwisho mwisho
Usiwapangie Cha kuongea maana naona roho inakuuma sana mikutano kuruhusiwa kama huafiki nenda kapinge mahakamani[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.
Hivi hiyo Mwanza ni Mali ya ukoo wako? Maana naona unaitumia kutishia watu wanaotaka kufanya mikutano Yao halali, kama ni Jiji la familia yenu zungushieni ukuta muweke walinzi getini mtu yeyote msiyempenda asiingieKaribuni sana mwanza msisahau haya maneno yenu siku ya mkutano jukwaani tushangilie pamoja
Kwa nini walishangilia? Je kilichokuwa kinawakera wakati wa utawala wa Magufuli kimetatuliwa au bado? Na je angekuwepo Magufuli mpaka leo mkutano wao wa hadhara hapo Mwanza?Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Huna akiliAmsterdam amekukojolea vingapi leo vya mwisho mwisho hapo ubelgiji.
Haya wanayaongelea hapa hapa,kule Mwanza hawawezi hata kuthubutu.[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.
Vp roho yakuuma[emoji23][emoji23][emoji23]Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara
Marehemu alitubu umwagaji damu alioufanya Kwa watu wasiokua na hatia? Hatubu mtu na hakuna unakachiweza kufanya labda kachomeke na mfu wenu huko motoniUungwana ni vitendo,
Lissu ni mkristo, anafundishwa kusamehe Saba mara sabini,
Kushangilia kifo Cha adui Yako Si sawa pia, KISASI tunafundishwa kumwachia Mungu,
CDM na Lissu wasipotubia dhambi hii, ni ngumu kupata uungwaji mkono wa Watanzania kama zamani,
Lissu ajifunze uungwana na kuunganisha watu wote kama sifa kuu ya kiongozi,
Ujio wake wa tarehe 25 ni Aibu kukwepa uzinduzi wa CDM mza tarehe 21.
ATUBU huko huko space, ATASAMEHEWA.
Aaamen.
Kiongozi yupi wa chama alipiga vita Hilo daraja? Halafu unawazuia kuja Mwanza wewe kama naniChadema wanalipiga Sana Vita daraja la busisi, halafu tena wanakuja mwanza, sijui wanaijia nini?
Mama Janeth mwenyewe kanawiri kama shina la mgombaTutakuja tu Mwanza upende usipende usifikiri Mwanza ni ya Wasukuma tu pekee au wafuasi wa Magufuri,Mwanza ni ya Watanzania wote bila kujali kabila,dini,chama au mapenzi ya mtu binafsi kama ya kwako.Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kujutia kifo cha Magufuri labda mwenye matatizo ya akili.
Na wataendelea kukukera huna utakaloweza kuwafanyaWanakera sana
Kusanya ukoo wako mzima mje kuzomea uone mnafikiri tupo enzi za mwendakuzimu?haya ni makenge hayawezi kuelewa[emoji23][emoji23],utasubiri mpaka yazomewe.
Who are you by the way. Kuna aliyekuzuia kujiunga na Dr. Slaa na ZKK, si wapo hai? Wewe inakuuma nini watu wakiiunga mkono Chadema? Si utashi wao? Fanya yako dogo, vinginevyo utapata pressure ya bure.Ebwana kumbe hawa wahuni bado wapo,hakuna chama cha upinzani Tanzania vyote ni ma agent wa cicim,chama ni chauma tu.acheni ubwege kushabikia vyama vya kipuuzi kama chadema.
Nilikuwa shabiki wa vyama vya upinzani tangu niko primary ila hawa wahuni hawana future zaidi ya maslahi binafsi toka niko dogo mbowe ndio MWENYEKITI mpaka leo nimezeeka ni kama yule profesa lipumbavu.
Chadema ya kweli ilikuwa ya dr. Kabouru na Zzk basi acheni kupoteza time.
Tupo bize kujenga nchi wengine mpo bize kuabudu mfu kibaya zaidi mnataka tuache shughuli zetu tuungane nanyie kumwabudu mfuMagufuli ni kama maji utayanywa, usipoyanywa utayanawa usipoyanawa utayaoga.
Sa100 sasa anajua nguvu ya jina la Magufuli siku ile rufiji likitajwa watu wanashangilia na kule sio kwa wasukuma.
Chadema endeleeni kula matapishi yenu endeleeni kuhubiri sukuma gang
Well said.NOTED.Who are you by the way. Kuna aliyekuzuia kujiunga na Dr. Slaa na ZKK, si wapo hai? Wewe inakuuma nini watu wakiiunga mkono Chadema? Si utashi wao? Fanya yako dogo, vinginevyo utapata pressure ya bure.
Naona mnajambajamba tu[emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja na kuyanyoosha kwenye sanduku la kura bado hayajielewi
Hakuna atakayemtaja mfu wenu Mungu alishaingilia kati wao wanakuja kuizungumzia nchi yetu Kwa ujumla. Halafu mbona unataka yazungumzwe mazuri tu? Zungumzia wewe hayo mazuri waache wengine wazungumzie mabaya Ili sisi tusiokua na mihemko ya kisiasa tuujue ukweliSawa lakini naamini mtamtaja Jembe kwa mazuri tu.
Viongozi wako wanalijua hilo, nyie chawa uchwara mnajua pia lakini mnajifanya hamnazo.
Bila kusahau kula rambirambi za tetemeko Bukoba, kuwadhulumu wakulima wa korosho fedha zao Kisha kwenda kuwanyang'anya korosho zao na magari ya jeshiUjumbe huo pia wafikishie CCM kuwa,
Wasithubutu kumkejeli au kumtukana Magu majukwwaani maana Wataanguka kisiasa.
Maana nimegundua nchini Pana makundi makubwa 3.
1. CCM. 2. UPINZANI. 3. WAZALENDO wanaomtazama Magu kama SHUJAA ktk kutatua changamoto mbalimbali kisiasa ktk Nchi kupitia utendaji wake.
Omba wewe radhi na utubu Kwa chuki zako Kwa Lissu au alikuchukulia mke?Aombe radhi kwanza kwa usaliti wake.