Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,873
- 7,145
Sawa lakini naamini mtamtaja Jembe kwa mazuri tu.Danganya chawa wenzako tu, jumamosi mwanza hapatoshi
Viongozi wako wanalijua hilo, nyie chawa uchwara mnajua pia lakini mnajifanya hamnazo.
Sawa lakini naamini mtamtaja Jembe kwa mazuri tu.Danganya chawa wenzako tu, jumamosi mwanza hapatoshi
[emoji23][emoji23]Na ujio wa shoga wa ubelgiji ni wa kuzomewa na kila mtu
Sawa mkuu, karibuni sana mumseme waziwazi huyo unae muita dhalimu.Yaonglewe mara 2? Kwenye kampeni dhalimu alikuwa anasemwa wazi wazi, akaishia kukaa garage kila baada ya mikutano miwili ya kampeni.
Aombe radhi kwanza kwa usaliti wake.Uungwana ni vitendo,
Lissu ni mkristo, anafundishwa kusamehe Saba mara sabini,
Kushangilia kifo Cha adui Yako Si sawa pia, KISASI tunafundishwa kumwachia Mungu,
CDM na Lissu wasipotubia dhambi hii, ni ngumu kupata uungwaji mkono wa Watanzania kama zamani,
Lissu ajifunze uungwana na kuunganisha watu wote kama sifa kuu ya kiongozi,
Ujio wake wa tarehe 25 ni Aibu kukwepa uzinduzi wa CDM mza tarehe 21.
ATUBU huko huko space, ATASAMEHEWA.
Aaamen.
MnakujaPole sana sukuma gang.
Hilo shoga la kitambo sana vigogo wote hapo lumumba wamepita naye.Mkuu ulianza lini kushiriki mapenzi ya jinsia moja ?
soft-necked fool.!stiff necked fool
Amsterdam anakutandika kweli kweli vya mwisho mwishoHilo shoga la kitambo sana vigogo wote hapo lumumba wamepita naye.
kwa hii chadema au chadema nyingine.labda wakaanzie moshi.huku tutawalia Hela zao sana ila matokeo yake watamuona Samia kileleniMwanza tutafanya mkutano vizuri tu na bibi yako lazima atahudhuria atakupa report.
chadema haina jipya.wenyewe walete Hela zao tule wapite kuleUkisikia kuchanganyikiwa ndiyo huku. Ni nani aliyekuambia kuwe wewe au mimi, pekee yetu ndiyo Mwanza?
Wewe kaa kimya. Mwanza si yako pekee yako wala yangu pekee yangu. Maneno yako au yangu siyo ya watu wa Mwanza wote.
Waache CHADEMA waje na waende kokote watakako. Ukikosa wewe kwenda haimaanishi watu wote hawataenda, na wala haimaanishi nikienda mimi, watu wote wataenda. Na hata watakaoenda, usidhani wote itakuwa ni kwa sababu moja.
Hivi huyo Lisu unafahamu kura halisia alizozipata Mwanza? Mwanza, pamoja na mbinu zote, imeendelea kuwa ya wapenzi wengi wa CHADEMA. Tulia usubiri siku ifike ndipo utoe neno.
Mimi ni mtu mwenye fikra huru.Lissu hana dhambi yoyote ile kuhusu Serikali labda mwenye dhambi ni wewe kwa kumchukia Tundu Lisu kwa kosa ambalo hajawahi kutendea au kulikosea Taifa sababu tu kulikuwa mtu alikuaminisha kuwa Lissu ni adui wa maendeleo.
Na le Nsukuma getegete Nzagamba ya MaganzoTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Siku hizi kesi za UCHOCHEZI hazipo.CHADEMA hawana sera za kuwaambia Wanamwanza, kiufupi hawana sera kabisa safari hii. Watakuja na maneno ya uchonganishi tu, na kumbukizi za wapendwa wao walitangulia mbele za haki. Mambo waliyo yapigia kelele mtangulizi wa Rais Samia alianzisha machakato na sasa Rasi Samia anamalizia kuyafanya na mengine mengi anayashughulikia. Yule gaidi uchwara tangu aachiwe hana nguvu kisiasa, zaidi kunasiku anaweza akaunga mkono juhudi maana ile kesi ilikua inamuondoa kwenye mstari.
Chadema ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]tuTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Mwambie mama Yako atubu kwanza Kwa kusaliti baba yakoTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Rais Samia ameruhusu siasa za kistaarabu.Siku hizi kesi za UCHOCHEZI hazipo.
Hivi ile wa 2020 ulikua uchaguzi?Angalia mahudhurio ya mkutano wa Lisu ambae mlisema watu walikuwa na hamu nae kutokana na kukaa ulaya muda mrefu, angalia na mahudhurio ya Lowasa ambae hakutoka ulaya, pamoja na Magufuli ili uone utofauti wa kile unachoongea. Picha hizo hapo.
Ni nani mkutano wake ulitia aibu. Wewe unafikiri sisi hatujui kwamba jamaa alikimbilia tena ulaya ili kuepuka aibu aliyoipata mwaka 2020 kwa kuangukia pua na kutokukisaidia chama chake kupata wabunge hata 5 kama alivyofanya Lowasa?
View attachment 2484282View attachment 2484283View attachment 2484285