Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
- Thread starter
- #161
Inasikitisha sanaBabu zake,bibi zake pengine na hata Wazazi wake na wote waliokufa kwa ukoo wake walikuwa Mashetani kwa mujibu wake.Hawa ndiyo GT wa JF.
Inasikitisha sanaBabu zake,bibi zake pengine na hata Wazazi wake na wote waliokufa kwa ukoo wake walikuwa Mashetani kwa mujibu wake.Hawa ndiyo GT wa JF.
Na wewe ukakubali udungwe mimba na muhutuYule dhalim hakuwa Msukuma bali alijivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa sababu kabila la Wasukuma lina idadi kubwa ya watu,yule ni Mhutu
Dhambi ya kushangilia na kufurahia kifo cha mkombozi Wa walio onewa hayati Rais magufuli itawatafuna chademaNgoja waamke
Hatutawasamehe kwa hiloDhambi ya kushangilia na kufurahia kifo cha mkombozi Wa walio onewa hayati Rais magufuli itawatafuna chadema
Siasa kwenye maisha ya watu hapanaSiasa ndivyo zilivyo...
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, huko CCM wapo hadi waliomwita chizi, Anthony DialoTumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Aliyesema Magu chizi sio mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza?[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.
Sema wanakuja wakati ambae bibi tozo ni zaidi ya zelesky maana yake mwanza hawampendi kuliko alie shangilia kifo cha mtukufu magu kwa wao waje lakni watembeleee mle kwenye hoja za mzee baba wakija na upumbavu wao wa katiba cjui nini hatutawaelewa wakati mchele kilo 3000, maharage kilo 3700Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza?
Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na Mbowe mlishangilia kifo cha rais Magufuli tarehe 17/3/2021?
Kwa kifupi huku kanda ya ziwa Chadema tulishaifuta mnakuja kupoteza muda wenu tu, tupo tayari kupigia kura mawe yetu lakini siyo Chadema.
Njooni mpoteze muda wenu, tuwalie hela zenu lakini laana ya kushangilia kifo cha mpendwa wetu hayati Magufuli iko palepale, mlitucheka na kutuita majina mabaya eti Sukuma Gang, mlijua hamtatuhitaji tena? Malipo ni hapa hapa duniani na muda ni mwalimu mzuri sana.
Tunajua pia Chadema mlipinga miradi yote iliyoanzishwa kanda ya ziwa.
Hahaha waje tuRobert Heriel atahutubia.
Wanatafuta visa huko Mwanza. Wanavijaribu vyombo vya Usalama na utayari wao, kwani wakipita Mwanza kwingine itakuwa na uafadhali.
....wanamwombea mtegemea msamaha, baada ya kuandaa mazingira hatarishi ambayo wana mwanza wanapitiwa nayo, kabla hajawasili?
Yuko wapi sasa hivi huyo Diallo? Kwa hiyo na chadema hatima yao ni kama Diallo?Aliyesema Magu chizi sio mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza?
Tayari tumeshaanza kulipwa ya mafutaWewe bodaboda mjonga usitegemee kuna wa kukupa hela. Sisi wapenzi wa demokrasia ndio tutakaowachangia pesa makamanda wa mstari wa mbele waendeleze mapambano ya maendeleo ya demokrasia.
Tulia dawa ikuingieNdipo akili yako ilipoishia. You worth nothing in this universe.
Sasa kama ni nyie mlishangilia msiwasinguzie cdmYuko wapi sasa hivi huyo Diallo? Kwa hiyo na chadema hatima yao ni kama Diallo?
Vipi wana Mwanza sera mmezisikia? Rais Samia kashafanya kila kitu ambacho chadema walikua wanaahidi kipindi cha nyuma. Sasa hivi hawana cha kusema zaidi ya kutafuta jambo la uongo na kulisapotiCHADEMA hawana sera za kuwaambia Wanamwanza, kiufupi hawana sera kabisa safari hii. Watakuja na maneno ya uchonganishi tu, na kumbukizi za wapendwa wao walitangulia mbele za haki. Mambo waliyo yapigia kelele mtangulizi wa Rais Samia alianzisha machakato na sasa Rasi Samia anamalizia kuyafanya na mengine mengi anayashughulikia. Yule gaidi uchwara tangu aachiwe hana nguvu kisiasa, zaidi kunasiku anaweza akaunga mkono juhudi maana ile kesi ilikua inamuondoa kwenye mstari.
Hahahaha leo wameambulia aibu kubwa sana ChademaVipi wana Mwanza sera mmezisikia? Rais Samia kashafanya kila kitu ambacho chadema walikua wanaahidi kipindi cha nyuma. Sasa hivi hawana cha kusema zaidi ya kutafuta jambo la uongo na kulisapoti