Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mchambuzi, kwa kinaendelea Chadama sasa, nimekukumbuka!, haswa hapo kwenye bold!.Hili ni tatizo, hasa pale chama kinapokuwa hakina mvuto unaotokana na itikadi bali masuala ya mpito (mfano ufisadi) au mvuto wa wapiga kura unaotokana na personalities za viongozi kadhaa.
Yapo masuala ambayo chadema huwa na msimamo kama chama, lakini huwa inatokea mara nyingine individual leaders wanasimamia mambo ambayo mara nyingine yanapishana na mtazamo wa chama, au wa viongozi wengine.
Mkuu Mchambuzi, thread hii is always my reference thread katika kuitathmini Chadema kuelekea 2015. As times go by, naomba ufanye upadate ya hizo hoja zipi zimefanyiwa kazi na matokeo yake ni yapi?!, zipi zimepuuzwa na what are the consequences?!, na pia kwenda a bit further kwa kueleza, kuelekea 2015, Chadema ifanye nini and if should we keep our hopes and faith with Chadema kuwa they might make it, or its dead hopes we better get prepared for the worst!.Kilichonipa hamasa ya kuja na mjadala huu ni kauli ya Mwenyekiti wa Chadema (Taifa), Freeman Mbowe, aliyoitoa hivi karibuni ambapo alitamka (nanukuu):
Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015, basi nitajiuzulu Siasa.
Kuna tofauti kubwa baina ya Doing the Right Things na Doing things Right, na ili ufanikiwe, nilazima kufanya yote mawili. Chadema has been doing the right things ambayo ni kutumia kikamilifu mapungufu ya CCM kujijenga kisiasa. Lakini tatizo linakuja kwenye doing things right ambapo, mbali na kutumia mapungufu ya CCM, kuna umuhimu wa kufanyia kazi viambato (ingredients) vinavyoiwezesha CCM kuwa na mafanikio ya kisiasa. Ushindi wa Chadema utatokana na umahiri wake kufanyia kazi mambo kuu tisa kama ifuatavyo:
- CCM ndio iliyoongoza mageuzi ya kiuchumi (political reforms) Tanzania;
- Umiliki na Udhibiti wa Vyombo Vya habari;
- Uchumi Mkubwa Wa CCM;
- Ujamaa Bado ni Relevant (unaendana) na Maisha ya Wengi Vijijini;
- CCM imejenga Coalition na Taasisi zote nchini zenye nguvu kiuchumi, kijamii na kijeshi;
- Katiba ya Sasa ya nchi inaipa CCM nguvu kubwa kisiasa;
- Mbinu za upinzani zinazotumiwa na Chadema Hazipo Consistent na Coherent;
- Tanzania inakabiliwa na Udhaifu mkubwa wa Civil Society; na
- Political Culture ya Tanzania ina matatizo.
Ni mambo haya tisa ambayo nadhani yakifanyiwa kazi na Chadema, basi yatazidi kujenga mazingira ya utayari kwa Chadema kushika madaraka ya nchi 2015 kwani mbali ya doing the right things, pia watakuwa wametekeleza dhana ya doing things right
mmetengeneza matabaka jukwaani, mmefukuza watu kwa kuwatenga,mmebaki wewe na nguruvi kujaza server ambazo hazina wachangiaji simply kwa sababu mli choose side.......mkakataa kazi ya kuwa analysts mkaruhusu mahaba yatawale! mmepotea, hamna nguvu tena, hamna la kusema...wakati yaka mengi mno
?Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015, basi nitajiuzulu Siasa.?-Mbowe au wewe??
Mchambuzi nasikia hata form ya ubunge ulishindwa kurudisha unabaki kugombana na akina zitto mitandaoni??
Nani anaweza ,kufukuzwa katika jukwaa!mmetengeneza matabaka jukwaani, mmefukuza watu kwa kuwatenga,mmebaki wewe na @Nguruvi kujaza server ambazo hazina wachangiaji simply kwa sababu mli choose side.......mkakataa kazi ya kuwa analysts mkaruhusu mahaba yatawale! mmepotea, hamna nguvu tena, hamna la kusema...wakati yaka mengi mno
Nani anaweza ,kufukuzwa katika jukwaa!
Kwani kuna ulazima kusoma tunachoandika.
Ninakuhakikishia wewe ni msomaji mzuri sana
Unaposemawatu hawachangii wakati unachangia, unavunja watu mbavu.Kwani wewesiyo mtu!
Hili ni jukwaa huru, kuna wanasoma,wanaochangia na wasiosoma.
Nawashukurusana wale wanaotutia moyo kupitia PM.
Kumpa mtukidogo ulicho nacho akashukuru ni Baraka.
Pili, hatuandiki kwa dhiki au kulamba watu miguu .
Tunaandika kama sehemu ya maisha yetuambayo huna sababu ya kuhoji au kujua
Hasirazako ni kutokana na Mh wa Kigomakuwekwa kati na nje ya wakati.
Kama umeamuakutualika tutoke likizo, hewala tupo hapa
Sikiliza, kauli ya Mh wa Kigoma kuhusu mikoa inayopendelewa na kuchangia kidogo tuliikomalia kwa kumkanya ni hatari. Nadhani umeona hatari tuiyoonya inavyotokea.
Siasa zaukanda na hasa kushambulia mikoa fulani ni uasisi wa huyu mh
Mbegu yakibaguzi na ubinafsi aliyopipanda imeachanua.
CCMwalipata hoja na mwisho wanamlipafadhila za kutulia mjengoni.
Ametuliaje baada ya kuchonganisha taifa?
Tuliposimamana kusema ule ulikuwa ni ujinga, wengihawakutuelewa.
Leo watuwanaona ukweli na wanatuelewa.
Na kwa jinsi gani umma umetuelewa ni jinsi alivyofutika katikamaongezi ya siasa za nchi hii.
Wengiwanamuona ni mwanasiasa muflsi
Kaendabungeni. kaamua kulamba viatu vya watawala badala ya kukemea ubabe.
Kasifiwa ili apewekamati.
Inafikirisha,hivi mtu anayewezaje kuridhia kusifiwana CCM.
CCMwalikataa kutumia jina lao katikauchaguzi, leo wanawezaje kumsifia mtu!
Walikataa jina lao lisinasibishwe na mtu leowanamsifiaje mtu
Kwaviileumetualika, tuanzie hapa kwa wikikadhaa!
Tatizo nini kama mwisho wa siku jimbo tumewapokonya ccm? ACT mna majimbo mangapi ukiacha la Kigoma mjini mlilopewa na CCM?
Waberoya kama sio zitto ni mramba miguu wa zitto
mmh, unasema???
angalia matokeo ya urais jimbo la Lissu utachoka mkuu!
mshinde na wabunge 35?? u must be kidding
Matokeo urais jimbo la mwana mazingira Makamba ndio utachoka kabisa. Ni maigizo tu.
Wabunge 35? ACTCCM mlijitapa kuweka wagombea wengi kuliko chadema, Wapo bungeni? Zitto kama sio ccm kumpigia debe plus siasa za ubaguzi, asingepita.
Maeneo mengi ukawa Kura za ubunge zilichakachuliwa. Kesi nyingi zipo mahakamani. Lakini pia Kura za Urais, yapo maeneo walimpigia Lowassa Kura lakini kumpigia mgombea wa ccm ubunge. Kura za Urais hazijawahi kuwa na uhusiano wa Moja kwa moja na ubunge nchini in a general sense. Rudi kasome historia.
Mwisho:
Chama mama cha ACT, yani Chama cha mapinduzi (CCM) hakikushinda Urais. Kiliiba Kura kwa kuweka wataalam wake kutoka china, india, kenya... katika maeneo kadhaa to hack mtandao uliokuwa unatuma matokeo NEC. Wapo waliokuwepo double tree, mlimani city villas etc. Huo ndio ukweli!
Matokeo urais jimbo la mwana mazingira Makamba ndio utachoka kabisa. Ni maigizo tu.
Wabunge 35? ACTCCM mlijitapa kuweka wagombea wengi kuliko chadema, Wapo bungeni? Zitto kama sio ccm kumpigia debe plus siasa za ubaguzi, asingepita.
Maeneo mengi ukawa Kura za ubunge zilichakachuliwa. Kesi nyingi zipo mahakamani. Lakini pia Kura za Urais, yapo maeneo walimpigia Lowassa Kura lakini kumpigia mgombea wa ccm ubunge. Kura za Urais hazijawahi kuwa na uhusiano wa Moja kwa moja na ubunge nchini in a general sense. Rudi kasome historia.
Mwisho:
Chama mama cha ACT, yani Chama cha mapinduzi (CCM) hakikushinda Urais. Kiliiba Kura kwa kuweka wataalam wake kutoka china, india, kenya... katika maeneo kadhaa to hack mtandao uliokuwa unatuma matokeo NEC. Wapo waliokuwepo double tree, mlimani city villas etc. Huo ndio ukweli!