CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015

CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015

Wanabodi,
hivi huyu mtu Mkuu Mchambuzi , yuko wapi siku hizi?。
P
Long time kwakweli. Utabiri wake wote kuhusu kuanguka kwa CCM na Chadema kutwaa dola ulifeli. Akisoma posts zake za zamani atakuwa anajisikia hovyo sana. Yeye ni mtu anayejua sana kupanga maneno, lakini hana uwezo wa kuchanganua matukio na kukadiria matokeo.
 
Back
Top Bottom