inaonekana hujui siasa ya nchi inavyo endeshwa, siipendi ccm ila kamwe huwez kunishawish kwamba chadema na mbowe ni wapinzani wa kweli...kwa akili zenu mnadhan mbowe kukaa jela na mali zake kuharibiwa au kufilisiwa ni hasara kwake [emoji23] just a mind game kwa WaTz wasio na uwezo wa kutafakari maisha kwa upana... siasa sio nyepes kiasi hiko, siasa sikuzote ni "win win game"
Kila Awamu inayoingia madarakani ina terms zake za makubaliano na chama kikuu cha upinzani... Rudi awamu ya 4 ilikuaje...? awamu ya 5 ilikuaje..? sasa hii ya 6 mambo yakoje kuhusu siasa na upinzani..? [emoji28][emoji23]
Vijana fanyeni kazi siasa iwe sehem ya kuchangamsha akili...
CCM still ina miaka zaidi ya 50 ili ije kufa kabisa. Tz hakuna upinzan