CHADEMA tukubali Mbowe ndiye mwasiasa bora

CHADEMA tukubali Mbowe ndiye mwasiasa bora

Ndugu zangu siasa ina mambo mengi sana na ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya Kisiasa MBOWE kama kiongozi ameweza kushinda kila maumivu aliyopitia.

Hawa kina Zitto, Lipumba, Kitila tulipandikiziwa tu na kwa sasa hawana nguvu tena za kujiita WAPINZANI.

Tumpe muda siasa haitaki kushupaa shingo maana MITHALI 11:14 INASEMA PASIPO NA MASHAURIANO TAIFA HUANGAMIA NA KUPOTEA

Nawasihi tuwe na subra ili tujiwekee mazingira mazuri ya siasa bila kuumizana.
All political power comes from a barrel of gun
 
Back
Top Bottom