CHADEMA tukubali Mbowe ndiye mwasiasa bora

Ni kweli, kawekwa ndani mara nyingi, mali zake kupigwa mnada na uovu wa kila namna. Ila sasa atengeneze wa kumrithi naona umri una mtupa mkono na kulinda demokrasia ndani ya chama chao hiyo wanayo ihubiri
Mbowe ameshasema kuwa 2023 anampa kijiti mwanachama mwingine hivyo ni jukumu la wanachama kuchagua mtu imara na mwenye busara kukiongoza chama.
 
Sema kuna kitu kashikishwa acha maneno
 
soma alama za nyakati kaka hapo hakuna cha mbowe wala nini yaani mnakomaza shingo nyie tu mitandsaoni hala ana soma comet zenu halafu anasema hiiiiiii ??!!!
Masalia ya magufuli mnatamani zile siasa zenu za kishamba za kuumizana.
 
Umetoa bonge la boko
 

Zingatia matumizi ya koma, nukta na herufi kubwa.
 
Mbowe ni Nyerere mpya aliyezaliwa 1961, Analeta mapinduzi ya kimfumo Kutoka ujamaa Hadi UBEPARI chotara.

Kamanda hawezi ACHIA chama, ataendelea kuwa kiongozi kushape na kuongoza chama na mfumo.

Hawezi pia kushika mamlaka ya juu sana ya nchi. Yuko poa, ni hazina ya Taifa.
 
Kamanda hawezi ACHIA chama, ataendelea kuwa kiongozi kushape na kuongoza chama na mfumo.

Hawezi pia kushika mamlaka ya juu sana ya nchi. Yuko poa, ni hazina ya Taifa.
Hazina ya taifa ya udanganyifu na MIND GAMES.

Ni mwanasesere anayetumika kuchezea akili za watanzania kwa faida ya watawala.
 
Hazina ya taifa ya udanganyifu na MIND GAMES.

Ni mwanasesere anayetumika kuchezea akili za watanzania kwa faida ya watawala.
Mbowe ni zaidi ya umjuavyo wewe.

Ni mtu MAALUM alietengenezwa na Engine ya KAMPUNI Kusimamia HAKI kustawi ktk Nchi. Ktk uhalisia mfumo huo Hauna upande. Ni Kwa maslah ya nchi.

Huyo Hana Bei, wazazi wake wameshiriki kuleta uhuru wa Nchi hii, hajatokea MAJALALANI.

KATIBA mpya Ina baraka Kutoka Kwa wenye Nchi, Nchi inaenda kusukwa upya.

Katiba mpya ni jambo mtambuka, wanapokubaliana kuhusu jambo muhimu kiasi hicho lazima mambo mengine anyamazie kwakuwa yatashughulikiwa na Katiba mpya. AMEN.
 
πŸ˜‚πŸ˜… hii nchi ina vijana wengi wapumbavu sana, wanajifanya wanajua siasa kumbe bogus tu...
Nilidhan mtanijibu kwa hoja mmeishia kunitukana. Siku mkipata akili mtakuja kunielewa kwasasa endeleeni na upumbav wenu...
 
Pesa imefanyaje ndg yangu imefanyaje
 
Kama haikumulainisha enzi za jiwe leo ndo iharibu utuwake punguzeni maneno jifunzeni kutunza lips zenu
Eti bwana Jiwe hakumoa pesa bali akihariby hata kile akichonacho. Ulikuwa wakati ambao angelainika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…