Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Umepiga picha watu wanaoandaa kiwanja cha mkutano! Lete picha ya sasa hivi!
 
Unajitaidi sana! Endelea kupambana na stress kwa njia hii, labda utapata afueni! Bagamoyo, ulikuwepo pia, hukuweza picha ila leo umejiongeza!
Jionee mwenyewe, salum mwalimu hana watu
IMG_20200911_163915.jpg
 
Niende kwenye kampeni kufanya nini?Kwani sera za chadema sizijui?Kwani maovu aliyofanya kwa kipindi cha miaka mitano baba mwenye nyumba alieyumba siyajui?!Subirini siku ya kupiga kura mtaona mziki wake!
 
People'ssss powerrrr......!
Habari za jioni ndugu zangu wana JF, leo nijikite na kilichotokea Muheza.
Tunakumbuka vizuri sana kuwa mgombea wetu wa ubunge jimbo la Muheza awali alienguliwa na tume ya uchaguzi lakini siku mbili zilizopita tume walirudisha jina lake.

Mwanadada Yosepher Komba, aliahidi kupambana kufa na kupona ili watu wa Muheza waweze kupata mabadiliko wanayohitaji. Na kukaibuka kundi flani mtandaoni wakijinasibu kutumia kila aina ya ushawishi na nguvu ili mwanadada huyu aweze kushinda(ni jambo zuri).

Cha kushangaza ni siku ya leo ambapo Salum Mwalimu alipoenda kufungua kampeni kakutana na uwanja mtupu(watu ni wachache sana).

Ni jambo ambalo sisi kama wanachama na mashabiki wa CHADEM limetufedhehesha sana, ni kitu hatukutegemea na tumebaki tunajiuliza "tumeikosea nini Muheza"??

Lakini ninaomba tuvute subra, tumtie nguvu mgombea ubunge ili aweze kuwa na hoja na mvuto kwa wapiga kura.

Mimi na-declare interest kuwa ni shabiki wa CHADEMA na hivyo nafuatilia kwa makini kwa kila kinachoendelea kuhusu kampeni za chama chetu. Ila leo cha kushangaza kwenye account ya CHADEMA Tanzania walikuwa wanapost nusu picha(picha imekatwa haionyeshi hadhira) hapohapo machale yakanicheza na kuona kuna tatizo huko kwenye kampeni, fasta nikaongea na mtu aliyepo huko anitumie picha za mkutanoni, nilichokiona ni aibu.

Chini hapa ni hali ilivyokuwa kwenye kampeni Muheza. View attachment 1566499
Acha umama nenda insta ya Bavicha
 
Kama mnadhami nyomi ni ushindi kuna watu walideki barabara. FA hatuwezi kumpa maana hata akishika mic anatetemeka. Bungeni ndio anaweza kuelezea shida zetu?
 
Picha imepigwa saa moja asubuhi mkutano saa kumi jioni akili za uvccm
Hata jana kuna jinga moja lilisema Chadema imekosa watu Bagamoyo. Kuona picha Lissu kajaza uwanja. Lumumba wana weweseka mno
 
Countrywide wewe ni mchawi, na huu uchawi wako hautakusaidia zaidi ya kujidanganya na kuwadanganya wasio jua, unajidai uko Chadema ila kila siku unazunguka kutafuta negative za Chadema, na hizo picha zako unazopiga asubuhi kabla hata watu hawajaanza kufika eneo la mkutano ndio unakuja nazo huku, jamaa wewe ni mchawi halisi.
 
Back
Top Bottom