Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Umepiga picha watu wanaoandaa kiwanja cha mkutano! Lete picha ya sasa hivi!
 
Niende kwenye kampeni kufanya nini?Kwani sera za chadema sizijui?Kwani maovu aliyofanya kwa kipindi cha miaka mitano baba mwenye nyumba alieyumba siyajui?!Subirini siku ya kupiga kura mtaona mziki wake!
 
Acha umama nenda insta ya Bavicha
 
Kama mnadhami nyomi ni ushindi kuna watu walideki barabara. FA hatuwezi kumpa maana hata akishika mic anatetemeka. Bungeni ndio anaweza kuelezea shida zetu?
 
Picha imepigwa saa moja asubuhi mkutano saa kumi jioni akili za uvccm
Hata jana kuna jinga moja lilisema Chadema imekosa watu Bagamoyo. Kuona picha Lissu kajaza uwanja. Lumumba wana weweseka mno
 
Countrywide wewe ni mchawi, na huu uchawi wako hautakusaidia zaidi ya kujidanganya na kuwadanganya wasio jua, unajidai uko Chadema ila kila siku unazunguka kutafuta negative za Chadema, na hizo picha zako unazopiga asubuhi kabla hata watu hawajaanza kufika eneo la mkutano ndio unakuja nazo huku, jamaa wewe ni mchawi halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…