Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasome vizuri mkuu 'Tindo' hii ni timu maalum iko kazini.Ukipata ajali kwenye chombo cha usafiri wakati unapigania mmiliki alishe familia yake, huwa anakutibu? Msitake kupotosha maana wakati ukweli tunaujua.
Unaiona kampeni hiyo lakini, nyuma ya kivuli cha upuuzi?
Unakumbuka kule kenya mafukara wanaokaa kibera ndio waliuana wakati Odinga na jamaa zake wanakula bata tu.Wajinga ndo mtaji wa wanasiasa!
Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava Kaka yangu kipenzi alotegemewa mno na mama.
Kuanzia hapo mama yangu alipatwa na hart attack ilosababisha kifo chake mwaka 2013 walichofanya CHADEMA ni kuwatelekeza majeruhi swala la kumtibu kaka yangu tuliachiwa sisi familia hakuna Mbowe wala Lema alotusaidia.
Mimi nadiriki kusema CHADEMA mlisababisha kifo cha mama yangu ingawa bado naichukia sana CCM ila CHADEMA bado si chama sahihi kwa ukombozi wa Tanzania.

Wakati mwengine unakuwaga mzembe na jinga la hali ya juu.Kwani walikulazimisha uwapiganie bwashee?!
Lawama nyingine ni za kitoto sana!
Kina mandela. Nyerere n co wangekuwa na akili kama za kwako leo Africa ingekuwa inatawaliwa badoHuo ndio ujinga wa siasa unapata kilema cha maisha kama sio kupoteza maisha kwa kumpigania mwanasiasa apate kujaza tumbo lake na familia yake
Na kwann Chadema hawajengi Ofisi za uhakika jamani? Kila wilaya wanakodi frem za duka ndiyo ziwe ofisi kweli? Kwani pesa za ruzuku zinaenda wapi?Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava Kaka yangu kipenzi alotegemewa mno na mama.