CHADEMA tumewapigania sana, hakuna mnalotudai bali mna deni kubwa kwetu

Karibu CHAPUTA achana na siasa hizo wanafaidika wenye vyeo tu af followers ndo mnaoumia
 
Unaiona kampeni hiyo lakini, nyuma ya kivuli cha upuuzi?

..ukiwaambia watu ccm inakufa hawakuamini.

..lakini ushahidi kwamba ccm inakufa ni umbumbumbu, unyama, na ukatili, wa makada wake, haswa hawa vijana.

..kijana anaweza kuwa naive na mwenye mihemko, and that is understandable and can be tolarated.

lakini vijana wa ccm ni wajinga, manyang'au, na makatili. Na hali hiyo ndiyo inayoiuwa ccm slowly but surely.
 


HUyu ndio Bro!
lakini Mbona alisha unga juhudi 2014 ?

 

Hijja Madava
Mbona Bro inaonekana alishahama chadema mwaka 2014 ?
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA ATOBOA SIRI ZA Chadema KWENYE MKUTANO WA CCM - ARUSHA | CCM DijitaliHABARI NA MATUKIO
 
Wapo raia wanadanganya msichague upinzani maana ukichagua upinzani amani itapotea...
wengine wanasema wapinzani wanaleta vurugu...

Siku hizi wazee watoto vijana wanajitambua maana zama zimebadilika...
 
Na kwann Chadema hawajengi Ofisi za uhakika jamani? Kila wilaya wanakodi frem za duka ndiyo ziwe ofisi kweli? Kwani pesa za ruzuku zinaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…