Mawazo machafu, huichafua akili pia.Kweli wanajitambua na ndio maana Mbowe ilibidi aokolewe na Polisi kutoka msibani kwa Chacha wangwe.
Walijua unafiki wake na uhusika wake wakataka kumtandika live.
Na tangia hapo Mbowe na Tarime ni sawa na Maji na Petroli.
unamuogopa mtu ambaye yeye mwenyewe anashughulikiwa?.....2025 ndiyo mwisho wake huyu, hatakuwa mbunge tena.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Mosi wewe sio chadema.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Huyu Mataga ahamie ACT, wajumbe wenye CCM yao watakata jina lake,alipitishwa na mwenfa zake.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Mimi ni Chadema hutaki chambia upupu. Waitara alitushughulikia Tarime kataa usikatae.Mosi wewe sio chadema.
Wewe ni Mataga.
Pili,Chadema kanda ya Tarime hawajawahi kuwaogopa watawala sembuse mzee wa nyagi Waitara.
Tatu,achana na Chadema pambana na CCM yako mparaganyiko
Non senseHuyu Mataga ahamie ACT, wajumbe wenye CCM yao watakata jina lake,alipitishwa na mwenfa zake.
Mwanaume mzima unamaindi mwanaume mwenzio kunywa pombe. Acha uduanzi. Umesahau kilichotokea Tarime.Waitara keshajiua kisiasa,yeye aendelee kunywa pombe zake tu.
Mh.Kweli wanajitambua na ndio maana Mbowe ilibidi aokolewe na Polisi kutoka msibani kwa Chacha wangwe.
Walijua unafiki wake na uhusika wake wakataka kumtandika live.
Na tangia hapo Mbowe na Tarime ni sawa na Maji na Petroli.
Clip umeisikiliza kamanda?Yaani huyo mlevi mbwa anawatisha?
Chukueni mapicha yake akishatia maviroba yake na akianza kuimba bar rusheni tuanze kumnanga.
Nb: ila msichukue picha 'akiachia kile kitu'
Alitushughulikia kwa kuiba!! Huko ndo kushushulika gani. Ngoja Sasa hivi uone alipata hata kura tano atashukuruIla alitushughulikia sana
Twafadhali sana mkuu,Sina Mama fisadi.Acha ubwege nani Ccm? Hii clip imemuumbua mama yako Shwain
Basi poleTwafadhali sana mkuu,Sina Mama fisadi.
Jina Mama lina heshima yake.Siyo kila mwanamke anaweza kuitwa kuwa ni Mama.
Kuliita fisadi kuwa ni Mama ni kuchanganyikiwa.
Wala hakuweza lile jambaxi kuu ndilo lilikuwa egemeo Sasa kwishnei chapoo awahi tapuxtapuIla alitushughulikia sana
Unaelewa maana ya kushughulikiwa?Ila alitushughulikia sana
Hana hizo nguvu... msimuogope!!Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925