CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wewe nawe hata hujitambui, yeye huyo ana nguvu gani ya kisiasa kuishughulikia Chadema? Aliupata ubunge kwa njia chafu kama walivyo wabunge karibia wote wa CCM walivyoingia Bungeni kwa kura za kwenye mabegi. Kauli yake haitutishi labda wewe ambaye humfahamu,sisi tunamjua vizuri ni mlevi mbwa ni mtu ambaye huku Banana hakuna asiyejua misbehaviour zake akinywa pombe. Kifupi huyo mtu ni takataka wala hana madhara kwa Chadema.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925