CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Wewe nawe hata hujitambui, yeye huyo ana nguvu gani ya kisiasa kuishughulikia Chadema? Aliupata ubunge kwa njia chafu kama walivyo wabunge karibia wote wa CCM walivyoingia Bungeni kwa kura za kwenye mabegi. Kauli yake haitutishi labda wewe ambaye humfahamu,sisi tunamjua vizuri ni mlevi mbwa ni mtu ambaye huku Banana hakuna asiyejua misbehaviour zake akinywa pombe. Kifupi huyo mtu ni takataka wala hana madhara kwa Chadema.
 
mtu muoga sana huyu, Tarime ni kambi rasmi God father wake hayupo anatafuta huruma
 
Wastara, Wastara, Wastara!
1642660040975.png
 
Back
Top Bottom