Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Huyu anahitaji kusaidiwa siasa za mwenda zake Kwa sasa hazina hazina nafasi. Mwelekeo wa nchi ni kupata viongozi waliowawakilishi halisi wa wananchi. Siasa za ng'ombe kufariki akaondolewa ngozi lakini kupe bado akaendelea kung'ang'ania kwenye ngozi. Hizo ndo siasa za huyo.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko TarimeyaView attachment 2082925
Huyu anahitaji kusaidiwa siasa za mwenda zake Kwa sasa hazina hazina nafasi. Mwelekeo was nchi ni kupata viongozi waliowawakilishi halisi wa wananchi. Sachet Tania za ng'ombe kufariki akaondolewa ngozi lakini kupe bado akaendelea kung'ang'ania kwenye ngozi. Hizo ndo siasa za huyo.Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko TarimeyaView attachment 2082925
Kwani ni uongo???¿¿¿Mawazo machafu, huichafua akili pia.
Kabisa
Huyo chawa mwisho wake October 2025 chama kimerudi kwa wenyewe.Sasa hivi a aanza kuvizia kiti cha mwenyekiti wa ccm mkoa
Hata mie limenichosha kwa ulaghai wake huku likitumia nembo ya Chadema kutapeli watu wamdhanie KamandaUkisikia kudata na cdm ndiyo huku.
Wewe ulishafukuzwa toka cdm lkn bado unainfuata fuata tu.
Niku hakikishie kuwa hautofanikiwa hata kidogo kuwalaghai watanzania.
Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.View attachment 2082925
Ila alitushughulikia sana
Bila kilainishi??? 😳Ila alitushughulikia sana
Huyo ni kati ya walio unga mkono jiwe sasa jiwe kafariki anataka kupiga u-turn kwa unafikiHata mie limenichosha kwa ulaghai wake huku likitumia nembo ya Chadema kutapeli watu wamdhanie Kamanda
Au covidal1 hivi🤔Mosi wewe sio chadema.
Wewe ni Mataga.
Pili,Chadema kanda ya Tarime hawajawahi kuwaogopa watawala sembuse mzee wa nyagi Waitara.
Tatu,achana na Chadema pambana na CCM yako mparaganyiko
Kwa wizi wa kura sio. Akili zako hazina akili.Ila alitushughulikia sana
Anaujua ukweli snHuyu mshamba chapombe tangu aingie kwa bao la mkono anafikiri game ndio itakuwa hivyo hivyo siku zote,hawa wezi wa kura ndio wanatuharibia nchi
CCM inaenda kufaAcha kuitisha taasisi kubwa , hiyo watu WA mara wanajielewa na wanauthubutu wa maamuzi yenye manufaa Kwa taifa, na sii yale mambo ya covidal19 na wasaliti mfuatano🏃.Hivyo najua hawata waangusha wapigania katiba mpya, wapigania uhuru na haki, 🤔
..