chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni hiyo.
Kwa nini viongozi wanaukwepa mfumo wa kukusanya kimtandao ambao utafanya wanachama wawe na kumbukumbu ya fedha endapo watazihitaji kuzikagua?