Hebu acha upumbavu wako wewe!! Zimepigwa bilion 4 michango iliyokatwa toka kwenye mishahara ya wabunge ilyowekwa kwenye akaunti maalum!!Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni hiyo.
Kwa nini viongozi wanaukwepa mfumo wa kukusanya kimtandao ambao utafanya wanachama wawe na kumbukumbu ya fedha endapo watazihitaji kuzikagua?
Zimepigwa Ruzuku
Zimepigwa 100ml za Sabodo zilizotolewa mbele ya waandishi wa habari
Zimepigwa misada toka wa wafadhili waliotaka wanunue pkpk na magari ya chama
Zimepigwa mpaka michango kwa ajili ya mashahidi waliokufa ktk harakati za kupigania chama sehemu mbalimbali....
Sembuse hizo tunaambiwa kabisa zawasi kwa Kaka
Wanachama wa Chadema ni kama yule mdogo wako alielishwa limbwata na mtot wa kinyamwezi au wa kitanga hata umwambie mbona mkeo anadanga atakuambia nani kakutuma uje uniambie? Fuata maisha yako tena tusijuane.
Kijana utatukanwa sana nakuhurumia