CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.

Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni hiyo.

Kwa nini viongozi wanaukwepa mfumo wa kukusanya kimtandao ambao utafanya wanachama wawe na kumbukumbu ya fedha endapo watazihitaji kuzikagua?
 
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi...
Kwani Sheria ya nchi inaruhusu mtu kuchangisha michango kwenye jamii bila kupata kibali serikalini?
 
Mpuuzi mkubwa ww unazopata kwenye kudanga unamjuza Mumeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…