Pre GE2025 CHADEMA: Tunakusudia kutwaa Jimbo la Chato uchaguzi wa 2025. Tumewahi shinda vijiji vingi kuliko CCM na Magufuli akiwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sukima gang mbona mnateseka shida nini? Chadema Hawa wamezua jambo πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Msafwa unasafa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio nasafa ila Sasa suku gang mnateseka sana baada ya kuumbuka kumbe jama yenu alikataliwa Toka nyumbani kwoa πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Ndio nasafa ila Sasa suku gang mnateseka sana baada ya kuumbuka kumbe jama yenu alikataliwa Toka nyumbani kwoa πŸ€ͺπŸ€ͺ
Sukuma gang wamejaa bungeni kasoro Wasafwa tu mnawakilishwa na Wanyakyusa

Kwako Mnyiha Lucas πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sukuma gang wamejaa bungeni kasoro Wasafwa tu mnawakilishwa na Wanyakyusa

Kwako Mnyiha Lucas πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mbona unateseka baada ya kufahamu Jamaa yenu alikaliwa nyumbani Duniani na mbinguni? πŸ˜„πŸ˜„
 
Akiwa Waziri wa Ujenzi alitembelea chato na kupokea risala ya wananchi waliomtaka kusaidia ujenzi wa barabara ya lami kwenye eneo lao, maana alikuwa mbunge wao.

Aliwajibu hivi, nanukuu "Nasikia mnaweka majungu hapa kwamba siwasaidii, mimi ni waziri wa nchi nzima siyo wa chato tu, kama mnataka lami kunyeni mavi yenu myasilibe iwe lami" mwisho wa kunukuu, uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 wazee wakasema sasa tutamuonyesha, Chadema ilichukua vijiji vyote kikiwemo kijiji alichoishi, 2015 alikuwa ang'olewe kwenye ubunge, ashukuru rafu za kikwete na majina ya mfukoni
 
Yule Mzee wenu alikuwaga na laana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Arusha hatuna msukuma zaidi ya kikaragosi kilicholetwa hivi majuzi
 
Ndio
Ujinga ni mzigo, mleta hoja utasemaje Magufuli hakukubalika Chato ili hali cabinet nzima ya chama chako mkampa akiongoze huku mkijua fika hajawahi hata kuwa balozi tu wa ccm?

Alipowanyoosha na lisisiem lenu la mafisadi mkamuundia zengwe mtu wa watu
Ndio maana wanajutia kama chama maana mwendazake alikuwa hafai haga kuwa mtendaji wa mtaa au balozi wa nyumba 10
 
Sasa mbona unateseka baada ya kufahamu Jamaa yenu alikaliwa nyumbani Duniani na mbinguni? πŸ˜„πŸ˜„
Mbona Wewe Wasafwa wenzako hawakutaki wanamtaka Dr Mwansasu PhD? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chadema Chato na CCM Chato ni kabila hilo hilo we Tutusa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mdude ni Msafwa yule mpelekeni bungeni kama Wasafwa wa CCM ni mabumunda 🀣🀣🀣🐼
 
Chato walipata kura nyingi sababu ya juhudi binafsi za Upendo Peneza ambayo sasa kahΓ mia CCM na timu yake Toka Chadema
Upendo mtoto wa juzi, we lini ulisikia JPM kamshinda mgombea wa chadema zaidi ya kupitishwa bila kupingwa??
 
Kabla ya 2015 kuna maeneo watu waliogopa hata kuvaa nguo za ccm.

Labda tungeambiwa hivyo vijiji chadema walishinda mwaka gani.
2014-2019 chadema ilikua na viti vingi kuliko CCM hapo Chato. Kitaifa chadema ilikua na 40% ya vitongoji/vijiji na mitaa. Ule uchaguzi wa 2014 ulikua hot sana ila JPM akauharibu wa 2019 ambapo 90% ya wagombea wa CCM walipita bila kupingwa.
 
Nawashukuru Chadema kufunua Siri ya wenye laana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…