Akiwa Waziri wa Ujenzi alitembelea chato na kupokea risala ya wananchi waliomtaka kusaidia ujenzi wa barabara ya lami kwenye eneo lao, maana alikuwa mbunge wao.
Aliwajibu hivi, nanukuu "Nasikia mnaweka majungu hapa kwamba siwasaidii, mimi ni waziri wa nchi nzima siyo wa chato tu, kama mnataka lami kunyeni mavi yenu myasilibe iwe lami" mwisho wa kunukuu, uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 wazee wakasema sasa tutamuonyesha, Chadema ilichukua vijiji vyote kikiwemo kijiji alichoishi, 2015 alikuwa ang'olewe kwenye ubunge, ashukuru rafu za kikwete na majina ya mfukoni