Pre GE2025 CHADEMA: Tunakusudia kutwaa Jimbo la Chato uchaguzi wa 2025. Tumewahi shinda vijiji vingi kuliko CCM na Magufuli akiwepo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata samia hakubaliki Zanzibar na huku hatumtaki
 
Hata samia hakubaliki Zanzibar na huku hatumtaki
Samia wa wapi ambae hakubaliki Zanzibar? Nitajie story zake za kukirihisha kama za Magufuli aliyekuwa anatukana watu hovyo baada ya kukataliwa kwao?

Pili Samia ndio Rais wako so long as vyombo vinamtaka,wajinga hawawezi ruhusiwa kuchagua Rais ,nyie mtachagua wa chini.
 
Lakini ukweli upo pale pale hakubaliki popote labda wajinga na machawa kama wewe mpige kula wenye akili tusipige
 
Lakini ukweli upo pale pale hakubaliki popote labda wajinga na machawa kama wewe mpige kula wenye akili tusipige
Angekuwa hakubaliki anaekubalika si angekuwa Rais? 🀣🀣🀣🀣🀣

Mbona Mimi namkubali
 
Mbeya wameshindwa wataweza Chato? πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
Unakumbuka 2020 mkuu wa mkoa wa Mbeya Kaka yako Chalamila aliapa kwamba hawezi kumtangaza mpinzani kuwa mshindi
Umesahau alivyomzukia sugu kesi za michongo.
Mbeya labda wagawe Jimbo, vinginevyo wakubwa watabwagwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…