Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya watanzania , vijana wa Tanzania Gen Z, viongozi wa dini, wanaharakati na makundi yote ya kijamii kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, uchaguzi huru na haki na unaoaminika, kupinga vitendo vya uhalifuu dhidi ya raia ikiwemo utekaji, kuamatwa na kubambikiziwa kesi, uminywaji wa demokrasia na matumizi mabaya ya rasilimali za umma
Aidha , Heche ametumia nafasi hiyo kutoa pole kwa watanzania wote kwa kupoteza vijana wao, waliopoteza viuongo na wote waliopoteza mali zao Oktoba 29, akisisitiza kuwa yote ambayo walikuwa wakipagina ni halali na ni ya haki
v