S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey, Wine na nyingine.
Mtanange huu utakuwa burudani tosha tu kama CDM mtapitisha huyu Lissu aliyeponoea chupu chupu. Mleteni tafadhari upesi aje amjambishe Pombe… Tafadharini sana , mleteni upesi, ni yeye tu anaye mumudu na sio Membe wala mwingine.
pombe, kura yangu unayo ikiwa tu utaahidi na kutekeleza yote yanayosemwa na wapinzania wako- Tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, haki za kuishi na binadamu, uhuru wa kujieleza , kukubali kukoselewa, kutowaonea watu kwa kesi za kubumba na kutowapa dhamana na mengineyo mengi... haya ukiyafanya bila vitisho, basi maendeleo yote ya vitu uliyofanya yatakuwa na maana zaidi na heshima yako itakumbukwa hadi mwisho wa ulimwengu, sifa zako zitaenea kama za baba wa Taifa.. si ni hayo unayotaka au nimekosea?
@ Chadema,mMkifanya makosa ya 2015- yale ya Lowasa na gia za angani (kama zipo au la), hata mimi na team yangu nitampigia Pombe . Ni hayo, mwenye kusikia na asikiye, mwenye kuona na aone, mwenye kuguswa na aguswe na mwenye wivu anywe simu , ni maoni yangu, ruksa kutofautiana bila mkwaruzo wala matusi.