Uchaguzi 2020 CHADEMA Tunduma: Wananchi wakimsindikiza Mwakajoka kuchukua fomu za Ubunge

Hivi hawa hawana habari za ndege kununua kwa cash? Hawajui SGR?
Mbona wako hivi hawa? Jee hawana habari za kuunga mkono juhudi kwa kina Nasari, Gekule, Silinde, na madiwani wengi tuu? Hata daraja la mfugale ambalo ni la aina yake barani Afrika?
Haaahaaaa itakua hao wote wamenunuliwa na mabeberu mkuu ama wana vyeti feki na wahujumu uchumi.
 
Hivi hawa hawana habari za ndege kununua kwa cash? Hawajui SGR?
Mbona wako hivi hawa? Jee hawana habari za kuunga mkono juhudi kwa kina Nasari, Gekule, Silinde, na madiwani wengi tuu? Hata daraja la mfugale ambalo ni la aina yake barani Afrika?
Hawajawahi kuyaona wala kufahamu faida ya hivyo vitu kwao.Ndiyo maana hawa wananchi wanaoitwa wanyonge wanataka kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa kuwatoa katika lindi la unyonge walikotumbukizwa na CCM kwa miaka sawa na nusu karne.
 
Back
Top Bottom