Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi

View: https://www.youtube.com/live/5kdtvUsnKV0?feature=shared
=====

Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mtakumbuka kuwa kulikuwa na Maandalizi ya kongamamno la vijana Duniani kama amabavyo imekuwa ikifanyika miaka yote, kama sehemu ya maandalizi viongozi wa BAVICHA walitoa mwaliko kwa viongozi wote nikiwemo mimi mwenyewe Tundu Lissu.

BAVICHA walitoa taarifa kwa jeshi la Polisi kuwa watakuwa na Kongamano la Vijana siku ya tarehe 12 Agosti 2024, mtakumbuka kuwa Nyahoza alitoa tamko tarehe 8 Agosti kuwa hilo kongamano lilikuwa na nia ya kuvuruga amani na kutuasa kuachana nalo.

Naomba tujiulize je, ni kweli kulikuwa na uharamu kwenye shughuli za CHADEMA, Je, halikuwa halali?

Mamlaka pekee ya kusimamisha shughuli za siasa ni OCD, Kwa mujibu wa Sheria hii, mtu pekee anayeweza kusema kuwa ni marufuku kufanya mkutano wako ni OCD wa eneo husika pekee, na si Mtu mwingine yoyote wala IGP.

Baada ya kuwa tumepata mwaliko sisi viongozi tulijiandaa na safari, mimi na Mwenyekiti wa Kanda, Joseph Mbilinyi, na John Mnyika tulisafiri kwa ndende na kungozana na Wenyeji wetu mpaka ofisi za kanda na kukuta wenyeji wetu, tulisaini vitabu vya wageni na mpaka hapo hali ilikuwa shwari

Baada ya hapo tukapata taarifa kuwa ofisi yote imevamiwa napolisi, kwa kweli walikuja kivita na zana zote kama fimbo za umeme, silaha za moto nk, baada ya hapo Viongozi wa polisi wakasema wanataka kuongea na sisi na tukawakubaliana kuingia ndani, na wakasema wanataka kumchukua Twaha Mwaipaya na Moza Ally tukawauliza anawaitia nini akasema anawaita kwa lengo la kuwakamata.

Tukamuomba waendelee kutupa taarifa fupi na akatupa dk 40 baada ya hapo tukatoka na kuwakabidhi watu hao 2, baada ya hapo RPC akasema kuna mtu kutoka nje wala kuingia ndani, ukitoka nje unakamatwa ukiingia unakamatwa, ila mpaka hapo hakukuwa na fujo yoyote.

Hapo sasa ikawa kama mkesha, nami nilikuwa nimewaahidi kuwapa shule kwenye mkesha, mpaka hapo hawakuwa wameanza kupiga watu, tukamuuliza RPC mbona kama kumekuwa na fujo wakati umetumbia hakuna kutoka wala kuingia.

Baada ya hapo tulisikia kelele kutoka nje, kulikuwa na polisi wengi wakiingia, Awadhi haji akaanza kumshambulia RPC kwa maneno mbele yetu, akasema wewe RPC ndio unawalea hawa, hawa wanatakiwa kupigwa.

Tangu hapo watu walianza kupigwa sana, mimi nilipelekwa kwenye gari ya RCO ila afande Awadhi akaanza kunitafuta akanyakua miwani yangu namiwani, akanambia nipande gari nyingine, nikamwambia afande siwezi sina mguu wa kupanda, akasema kama huna mguu umekuja kufanya nini hapa? Akawaamuru askari wanibebe, wakanibeba na kunisukumiza kwenye gari, baadae alirudisha miwani na kofia na nikapewa na kofia ya mtu mwingine nikapelekwa mpaka vyawa, na kukabidhiwa kwa RPC Songwe, kipindi chote nilikuwa nimewaomba polisi wanipatie dawa zangu na ombi langu halikukubaliwa.

Baada ya hapo nilisafirishwa mpaka Dar Centro na kupewa karatasi iliyoandikwa nimepewa dhamana na nimejidhamini mwenyewe na natakiwa kuripoti tena kituonii tarehe 16, Agoeti 2024, siku ya ijumaa.

Katibu Mkuu Wa CHADEMA

Mimi nianzie pale ambapo tumetoka nje ya ofisi kuweka utaratibu wa makamu kuanza kutoa masomo na viti vikawekwa, mimi nikarudi ndani kwa sababu kuna mawasiliano nilitaka kuyafanya, nikaanza kusikia sauti kuwa tunakamatwa, polisi wakaanza kuingia ndani wakaanza kukamatwa watu huku wakiwapiga na shoti za umeme na kuwapulizia paper spray huku nikiwa natazaa , nikawa natembea huku nikiona mtu ambaye anaongoza zoezi hilo ni mtu ambaye tulikuwa naye tunazungumza muda mfupi kabla, mimi nadhani kwa sababu anafahumu nafasi yangu huenda aliheshimu.

Vipigo na ukamataji uliendelea na karandinga lilijaa ikatolewa amri lilitwe lingine na sisi wote tukaamriwa tukae chini tukaa, karandinga lingine likafika, kisa nikasikia Jina linaitwa John Mnyika yuko wapi, nikasimama, nikidhani napewa heshima kama kiongozi nisiingine kwenye karandinga, Nikaongozwa nyuma ya gari na kulikuwa na kagizagiza, akatokea Awadhi, akasema nyinyi ndio mnatusumbua sana, akapeleka mkono wake kwenye uso wangu na kuchukua miwani, na kisha kuivunjavunja, baada ya hapo ilikuwa kama ishara kwa polisi waanze kunipiga, wakaanza kunipa virungu mabuti, na kila aina ya kunipiga, ikabiid nipige kelele kubwa ili watu wasikie, mnaniuaaa mnaniuaaa, baada ya kelele hizo wakaniweka kwenye gari ambapo nilimkuta Sugu, ambaye anaonekana alishapigwa sana kabla yangu kisha askari mmjoka akatoa rungu na kunipiga.

Baada ya hapo askari mmoja kauliza wana simu, nikajibu mimi nina simu moja na moja ilipotea mwanzo kwenye kashkash, akaichukua hiyo simu moja ilibakia na kuitia mfukoni, baada ya hapo ikatolewa amri mimi nipelekwe Makambako na Sugu Apelekwe Iringa ila wakati huo Sugu alikuwa anatoa kelele ya maumivu makali, nikasema Sugu anatoa kelele ambayo inaonesha anaumwa sana apelekwe hospitali vipigi na baridi vimemdhuru, askari wakasema atulie tunaendelea na safari.....

Tulipofikishwa Makambako tulitenganishwa vymba, tukaulizwa iwapo tuna simu, nikajibu mimi simu yangu moja ilipotea awali na nyingine alichukua askari kwenye gari wakasema huenda tulipoteza kwenye gari, wakakagua gari hakuna simu, ivyo simu zangu ziliibwa na polisi, na Sugu akasema simu yake imepotea kwenye vurugu.

Polisi waliotumwa kufanya haya matukio ni kama walikuwa wametulenga watupige hawakuwa na sababu za kutupiga, walitushikiri abila sababu na walikuwa wanatupiga kama wamevutishwa bangi au wahuni fulani hivi.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

Tnakutana hapa ambapo viongozi wa chama, na wanachama wameumizwa bila sababu yoyote na huu ndio tunaweza kuuita ukandamizaji, sisi kama chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana, na tunaamini ni mchakato ulitengenezwa na Serikali na vyombo vyake vya ulinzi, shutuma za msajili wa vyama vya siasa hazi msingi, chadema hakijawahi kuwa chama cha kigaidi na tumeeleza hili mara nyingi.

Hizo sababu za kiintelijensia hazina msingi, na hizo gharama zilizoligharimu taifa kwa kulipia posho na nauli za watu waliondesha zoezi hili ni mamilioni ya pesa, ni kodi za watanzania zinatumika vibaya, eti kwa mamneno aliyoongea Twaha.

Kuna shughuli tatu kila mwaka sisi kama chama tunazitumia kukutana, siku ya wanawake, siku ya vijana na kila mwaka tumekuwa tukifanya mikoa tofauti tofauti, mfano, dodoma, Shinyanga, Kilimanjaro nk Sisis ni chama cha siasa, Serikali ina hofu inasema tunataka kuleta machafuko kama ya Gen Z wa Kenya, yalitokea kenya na yaliyotokea kidogo Nigeria, uganda hii presha itakuwa naitaongeza kupiga viongozi sio shuluhisho, Kenya iliipuuza wananchi, wananchi wakafika mahali wakachukua hatua, na wala si vyama vya siasa, Serikali ya Tz ijifunze, kama wanataka kudhibiti wasihangaike na chadema wahangaike na matatizo waliyonayo wananchi ndio suluhuhisho.

Kama uhuni waliofanya kwenye uchaguzi wa 2020 ndio wanakusudia kufanya 2024, basi tunawaonya mapema kuwa hi nchi haitakuwa salama, kama tukio hili la siku 3 limevuta vyombo vya habari vya dunia, hata mkifanya sisi tukakaa kimya vyombo vya habari vya dunia nje vitasema.

Watanzania wanachuki kwa sababu wengi wameumizwa kwa kukosa haki, kuondoa hizo chuki wapeleke jani la mtende wapeleke upendo kwa watanzania.

Tnalaani ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, na kipekee msajili msaidi wa vyama vya siasa, na si pekee na kulaani tu jeshi la polisi ila na serikali nzima ya Samia na hapo wawili wamekuwa kiherehere wa kuimiza chadema.

Sugu na Mnyika wamepigwa sana, na kawaida Jeshi la polis wanatumia nguvu pale kunapokuwa na mgomo ila hawa viongozi hawakugoma chochote ila wamepigwa sana, wameko kwenye matibabu, wamepigwa sana kwenye giza kwenye magari ya polisi.

Kama kweli chadema tulikuwa tumepanga kuvunja amani watupe ushahidi, tulipanga nini, tulipanga wapi na na si kauli 1 ya Mwaipaya, na huyo Awadhi kauli alizokuwa anazitumia dhidi ya viongozi wetu, japo jambo hli limeratibiwa na wote kuanzia Rais, ila hawa wawili lazima tuwachukulie hatua, hata ndani ya polisi wapo wanaomizwa na hivyo hatuwezi kuwalaumu jeshi zima ila tutawaburuza mahakami hawa wawili Nyahoza na Awadhi kama wao na si jeshi la Polisi na makamu Mwenyekiti ataongoza jopo la mawakili kuwaburuza mahakamni.

Tangu tumefanya mikutano hatujawahi kumdhuru mtu yeyote wala kuharibu mali ya yeyote kwa sababu hiki si chama cha kigaidi, ni chama cha watanzania, hatuwezi kutumia chama chao kuwadhuru wenye chama chao ambao ni watanzania.

Wapo walioambia makosa yao ni kukusanyika katika kusanyiko haramu, siku ya vijana duniani hiyo haramu inatokea wapi? Na lingine ni kukaidi amri halali ya polisi hiyo amri walikaidi wapi? Niwaombe viajana na wamama wa chadema tusiache wajibu tulioamua kuibeba na niwaambie tu kuwa hawataweza kuzuaia raia watakapokuwa wamechoka na kuingia barabarani, hamtaweza kuzuia ya kenya kwa kutumia risasi zinazonuuliwa kwa kodi ya watanzania ya hao hao raia mnaowapiga.

Hatutakwenda polisi kaa ambavyo walisema turudi tena, hatutakwenda kwenye mashitaka ya uongo na ya kudharirisha, ila tunalaani kukamatwa kwa waaandishi wa habari na kuchukiliwa vyombo vya vya kazi aikiwemo na wengine kuchukuliwa simu zao.

Pia soma:
 
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi

=====

Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mtakumbuka kuwa kulikuwa na Maandalizi ya kongamamno la vijana Duniani kama amabavyo imekuwa ikifanyika miaka yote, kama sehemu ya maandalizi viongozi wa BAVICHA walitoa mwaliko kwa viongozi wote nikiwemo mimi mwenyewe Tundu Lissu.
CCM nzima sahivi wanajamba
 
Mahabusu zote zina sakafu na wananchi wanalala kwenye sakafu, mwambie hilo jj mnyika, pia, nadhani kuna story chafu iliendelea wakati wameambiwa wabaki ndani, kipo kitu, kilichowaamsha askari. Either kelele au kejeli
 
SIASA ZIMEWAISHIA,SERA HAMNA KILICHOBAKIA NI KUTAFUTA DRAMA NA SACCOSS YENU WACHAGA,HAKUNA FALA ANAWEZA KUWAPA NCHI WACHAGA,TAMBUENI HILO MBOWE NA VIJAKAZI WAKO.
Kwa akili yako ndogo, unafikiria Mbeya imejaa wachagga? Au vijana waliokuwa wanakikusanyika ni wachagaa? Kwa taarifa yako, wachagga wamepiga hatua kubwa kimaendeleao. Na wamefanya mambo makubwa nchi hii. Wakiongoza nchi, tutapiga hatua kuliko hii misukule ya CCM ambayo imejaa chuki, mijizi, milimbukeni, na zaidi kabisa ina uchu kama mifisi, ambayo mpaka leo hatujui inaipeleka wapi nchi yetu.
 
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi

View: https://www.youtube.com/live/5kdtvUsnKV0?feature=shared
=====

Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Mtakumbuka kuwa kulikuwa na Maandalizi ya kongamamno la vijana Duniani kama amabavyo imekuwa ikifanyika miaka yote, kama sehemu ya maandalizi viongozi wa BAVICHA walitoa mwaliko kwa viongozi wote nikiwemo mimi mwenyewe Tundu Lissu.

BAVICHA walitoa taarifa kwa jeshi la Polisi kuwa watakuwa na Kongamano la Vijana siku ya tarehe 12 Agosti 2024, mtakumbuka kuwa Nyahoza alitoa tamko tarehe 8 Agosti kuwa hilo kongamano lilikuwa na nia ya kuvuruga amani na kutuasa kuachana nalo.

Naomba tujiulize je, ni kweli kulikuwa na uharamu kwenye shughuli za CHADEMA, Je, halikuwa halali?

Mamlaka pekee ya kusimamisha shughuli za siasa ni OCD, Kwa mujibu wa Sheria hii, mtu pekee anayeweza kusema kuwa ni marufuku kufanya mkutano wako ni OCD wa eneo husika pekee, na si Mtu mwingine yoyote wala IGP.

Baada ya kuwa tumepata mwaliko sisi viongozi tulijiandaa na safari, mimi na Mwenyekiti wa Kanda, Joseph Mbilinyi, na John Mnyika tulisafiri kwa ndende na kungozana na Wenyeji wetu mpaka ofisi za kanda na kukuta wenyeji wetu, tulisaini vitabu vya wageni na mpaka hapo hali ilikuwa shwari

Baada ya hapo tukapata taarifa kuwa ofisi yote imevamiwa napolisi, kwa kweli walikuja kivita na zana zote kama fimbo za umeme, silaha za moto nk, baada ya hapo Viongozi wa polisi wakasema wanataka kuongea na sisi na tukawakubaliana kuingia ndani, na wakasema wanataka kumchukua Twaha Mwaipaya na Moza Ally tukawauliza anawaitia nini akasema anawaita kwa lengo la kuwakamata.

Tukamuomba waendelee kutupa taarifa fupi na akatupa dk 40 baada ya hapo tukatoka na kuwakabidhi watu hao 2, baada ya hapo RPC akasema kuna mtu kutoka nje wala kuingia ndani, ukitoka nje unakamatwa ukiingia unakamatwa, ila mpaka hapo hakukuwa na fujo yoyote.

Hapo sasa ikawa kama mkesha, nami nilikuwa nimewaahidi kuwapa shule kwenye mkesha, mpaka hapo hawakuwa wameanza kupiga watu, tukamuuliza RPC mbona kama kumekuwa na fujo wakati umetumbia hakuna kutoka wala kuingia.

Baada ya hapo tulisikia kelele kutoka nje, kulikuwa na polisi wengi wakiingia, Awadhi haji akaanza kumshambulia RPC kwa maneno mbele yetu, akasema wewe RPC ndio unawalea hawa, hawa wanatakiwa kupigwa.

Tangu hapo watu walianza kupigwa sana, mimi nilipelekwa kwenye gari ya RCO ila afande Awadhi akaanza kunitafuta akanyakua miwani yangu namiwani, akanambia nipande gari nyingine, nikamwambia afande siwezi sina mguu wa kupanda, akasema kama huna mguu umekuja kufanya nini hapa? Akawaamuru askari wanibebe, wakanibeba na kunisukumiza kwenye gari, baadae alirudisha miwani na kofia na nikapewa na kofia ya mtu mwingine nikapelekwa mpaka vyawa, na kukabidhiwa kwa RPC Songwe, kipindi chote nilikuwa nimewaomba polisi wanipatie dawa zangu na ombi langu halikukubaliwa.

Baada ya hapo nilisafirishwa mpaka Dar Centro na kupewa karatasi iliyoandikwa nimepewa dhamana na nimejidhamini mwenyewe na natakiwa kuripoti tena kituonii tarehe 16, Agoeti 2024, siku ya ijumaa.

Katibu Mkuu Wa CHADEMA

Mimi nianzie pale ambapo tumetoka nje ya ofisi kuweka utaratibu wa makamu kuanza kutoa masomo na viti vikawekwa, mimi nikarudi ndani kwa sababu kuna mawasiliano nilitaka kuyafanya, nikaanza kusikia sauti kuwa tunakamatwa, polisi wakaanza kuingia ndani wakaanza kukamatwa watu huku wakiwapiga na shoti za umeme na kuwapulizia paper spray huku nikiwa natazaa , nikawa natembea huku nikiona mtu ambaye anaongoza zoezi hilo ni mtu ambaye tulikuwa naye tunazungumza muda mfupi kabla, mimi nadhani kwa sababu anafahumu nafasi yangu huenda aliheshimu.

Vipigo na ukamataji uliendelea na karandinga lilijaa ikatolewa amri lilitwe lingine na sisi wote tukaamriwa tukae chini tukaa, karandinga lingine likafika, kisa nikasikia Jina linaitwa John Mnyika yuko wapi, nikasimama, nikidhani napewa heshima kama kiongozi nisiingine kwenye karandinga, Nikaongozwa nyuma ya gari na kulikuwa na kagizagiza, akatokea Awadhi, akasema nyinyi ndio mnatusumbua sana, akapeleka mkono wake kwenye uso wangu na kuchukua miwani, na kisha kuivunjavunja, baada ya hapo ilikuwa kama ishara kwa polisi waanze kunipiga, wakaanza kunipa virungu mabuti, na kila aina ya kunipiga, ikabiid nipige kelele kubwa ili watu wasikie, mnaniuaaa mnaniuaaa, baada ya kelele hizo wakaniweka kwenye gari ambapo nilimkuta Sugu, ambaye anaonekana alishapigwa sana kabla yangu kisha askari mmjoka akatoa rungu na kunipiga.

Baada ya hapo askari mmoja kauliza wana simu, nikajibu mimi nina simu moja na moja ilipotea mwanzo kwenye kashkash, akaichukua hiyo simu moja ilibakia na kuitia mfukoni, baada ya hapo ikatolewa amri mimi nipelekwe Makambako na Sugu Apelekwe Iringa ila wakati huo Sugu alikuwa anatoa kelele ya maumivu makali, nikasema Sugu anatoa kelele ambayo inaonesha anaumwa sana apelekwe hospitali vipigi na baridi vimemdhuru, askari wakasema atulie tunaendelea na safari.....

Tulipofikishwa Makambako tulitenganishwa vymba, tukaulizwa iwapo tuna simu, nikajibu mimi simu yangu moja ilipotea awali na nyingine alichukua askari kwenye gari wakasema huenda tulipoteza kwenye gari, wakakagua gari hakuna simu, ivyo simu zangu ziliibwa na polisi, na Sugu akasema simu yake imepotea kwenye vurugu.

Polisi waliotumwa kufanya haya matukio ni kama walikuwa wametulenga watupige hawakuwa na sababu za kutupiga, walitushikiri abila sababu na walikuwa wanatupiga kama wamevutishwa bangi au wahuni fulani hivi.

Dah burudani kinoma hahahaha eti analia wananiuua hahaha kufa, maana mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli mkidhani eti mfumo umekufa na bado safari hii mtakoma wadwanzi wakubwa tena ilipaswa mpigwe zaidi
 
Back
Top Bottom