Kwa udhalimu waliofanyiwa CHADEMA Mbeya na kwingineko, kwa hakika nineuchukia utawala huu kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea katika Historia ya maisha yangu.
Police, mmewakosea sana CHADEMA. Kwa uungwana tu IGP anatakiwa kuwaomba msamaha CHADEMA. Mimi si mwanachama wa CHADEMA lakini kitendo walichotendewa CHADEMA kimeniumiza sana.
Lakini Mungu ni mkubwa zaidi, ipo siku ukombozi kamili wa Nchi hii utapatikana.