Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi bado polisi wanaajiri kwa kigezo cha D mbili?. Zamani ukiwa na division four ya pointi 28 unakwenda CCP fresh tuu.
Ongezea hapo na kuwa na kadi ya kijani yenye jembe na nyundo!
 
Hilo BIG SHOW ni limebeba roho ya shetani tu, lipuuze tu. Usipoteze muda wako wa thamani kwa jitu lisilo na weledi wala hekima.

Hayo ni majitu yaliyolaanika ndiyo maana wakati wote yanafurahia na kuwaza uovu.
 
Nimeongea na viongozi wawili wa juu wa CHADEMA waliokamatwa nikawauliza kwanini wanafanya fujo ingali Rais Samia Suluhu,
amerejesha Demokrasia tele?

Wakanijibu: - - Migogoro na Rais na kukamatwa na Polisi ndio uhai wa CHADEMA. Uungwana wa Rais unaiua CHADEMA.

WAMESHUKURU KUKAMATWA
 
Nani alifanya fujo kwa akili yako ?........😎
 
Hawa jamaa wasanii kweli, tumepigwa sana tena sana watu wanaonekana kama wametoka harusini, hivi aliyepokea kichapo anakuwaje? Chadema wamepata kick ya kwenda nayo walikuwa wameishiwa na agenda ila wamepata wanachotaka ku trend.
 
Dah uksikiliza kwa umakini hakika jeshi letu linahitaji reform. Sababu ya kuwapiga kiasi hicho haipo kabisa. Nimesikitika sana. Mungu atusaidie tuvuke vizuri 2025. Maana Mh. Mnyika au Sugu mbona watu poa sana.
 
Ushawahi pewa mimba na mchaga akakukataa? Maana naona wanakutoa povu sana. Ndo maisha. Usiweke mambo moyoni. Songa mbele.
SASA,KUMBE WEWE KUZALISHWA NA MCHAGA HAO WATOTO MAPACHA WENYE MTINDIO WA UBONGO NDIYO IWE SABABU YA KUTUTAKA SOTE TUWAPENDE??PAMBANA NA HALI YAKO SHANGAZI,KWETU SISI WACHAGA HAWANA QUALIFICATION YA KUINGIA IKULU HATA WATAMBIKE UCHI.
 
Asante kaka Nyendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…