Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nachowashangaa hao Chadema Huwa wanajiona Wana Haki sana kuliko wengine na pengine wamejipa kuwa wasemaji wa wengine.

Pambaneni wote si Wanasiasa nyie mnataka Dola ila mje kuitumia Kwa watakaowapinga,komaeni tuu.
 
Huyo atakuwa ni msigwa aliwachoma aiseee betrayal in the city
 
Dah masaa mawili haya "very effective". Mbowe ni kiongozi aisee.
 
Kuna mijitu imenuna kumwona Mh. Lissu na Mbowe meza kuu - wakati yule Mwanasesere waliyemnumia nasikia leo yupo Geita anabwabwaja na kina mama wenzake wa UWT.
Mambo yanakwemda kwa kasi saana.
 
Kiufupi nimefurahi sana sana sana. Mwanzo walijifanya washirika mpaka wakawa wanapanda jukwaa moja wanasifiana ila nilijua hawafiki popote kiko wapi sasa.
 
Shoga la kizanzibari kutika cham cha wasagaji cha wafiraji
Mkuu huu uwanja ni wa majadiliano. Hatupendi maneno ya kutukana au kukera wengine...



Mimi kama mfuasi wa demokrasia na haki za binadamu napinga hii Tabia yako. Ukome.
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyojiri kwenye Mkutano wa viongozi wa Chadema na Waandishi wa habari.

Hawa wawili wataburuzwa Mahakamani wao binafsi kwa makosa ya kijinga na ya kujitakia ili iwe fundisho kwa Maofisa wengine wa serikali waliojisahau na kulewa madaraka.

Labda kwa kuwakumbusha Wanajf Wageni na wale wasahaulifu ni kwamba jambo hili siyo geni Nchini Tanzania, Omary Mahita aliyekuwa IGP (yaani mkubwa kuliko Awadh Haji), Aliburuzwa Mahakamani kwa makosa ya aibu ya kumkongomeka mimba House girl wake mwenyewe na kukataa matunzo ya mtoto, Haikujulikana kama Alimbaka au walikubaliana. Bila shaka hakuna aliyesaha kisa hiki cha aibu.

Binafsi naipongeza Chadema kwa hatua hii ambayo italeta heshima kwa chama chao na kwa Nchi yetu

Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana, na tunatarajia Awadh na Sisty watafukuzwa mara moja .
 
Mkuu huu uwanja ni wa majadiliano. Hatupendi maneno ya kutukana au kukera wengine...



Mimi kama mfuasi wa demokrasia na haki za binadamu napinga hii Tabia yako. Ukome.
Siwezi kuita chepe kijiko kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…