Uchaguzi 2020 CHADEMA tuwekeze nguvu mkoa wa Njombe, bila hivyo tutaaibika

Uchaguzi 2020 CHADEMA tuwekeze nguvu mkoa wa Njombe, bila hivyo tutaaibika

Wewe tapeli sijawahi kukuamini na haitatokea kamwe nikuamini, Njombe ya Rose Mayemba sio hiyo uliyoweka kwenye picha, sijui unaokota wapi hizo picha na nyungine unavizia kabla watu hawajafika kwenye mikutano unapiga picha unaleta huku, wewe ni MUONGO.
Mi nakuamini kamanda. Nguvu moja
 
Endeleza tu propaganda uchwara Mataga ila jua kanda ya nyasa CCM mnapotezwa vibaya mwaka huu. Si iringa si Mbeya si songwe si njombe. Watu wa kule wana uelewa sana. Nimewapenda kwa kweli!!a
Tupo njiani tunaelekea huko hautaamini kwamba chadema haina chake nyasa.Na hapo ndiyo mtatundika daruga tunajua Lissu anayo return airticket ya kurudi kwao.Maana baada ya uchaguzi we want to revisit his ........
 
Mnafikili Lissu anatishwa,,,,,,,,,,kama Risasi hazikumnyamazisha,,manafikili maneno yenu na vitisho vitamnyamazisha,,
TL is here to stay,, na kupambana na uongozi wenu usio wa haki,,,,,,,,,,We will fight back.
 
Tupo njiani tunaelekea huko hautaamini kwamba chadema haina chake nyasa.Na hapo ndiyo mtatundika daruga tunajua Lissu anayo return airticket ya kurudi kwao.Maana baada ya uchaguzi we want to revisit his ........
Thubutu yenu. Ccm Ngome yenu mwaka huu ni Geita tu!!!
 
Wakuu nina imani mko powa, leo kuna jambo limenistaajabisha sana. Moja ya ngome zetu kuu kama chama ni nyanda za juu kusini, ikiwemo mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe. Kama tunavyofahamu sasa hivi kuna kampeni zinaendelea kila mahali za urais, ubunge na udiwani.

Chama chetu ninaona kabisa kuna sehemu hakijajiandaa au kuna tatizo lipo ambalo pengine viongozi hawataki kuliweka wazi. Mkoa wa Njombe ni moja ya mikoa ya kimkakati lakini nguvu iliyopelekwa huko haitoshi kabisa.
Kampeni za ubunge na udiwani hazina watu wa kusikiliza na kuishia kubaki mgombea na viongozi wachache.

Ni lazima tuangalie wapi tumejikwaa na sio kulalamika tulipoangukia. Njombe tunaenda kupoteza kura nyingi sana kama hali itaendelea kuwa hivi.

Picha chini ya mkutano wa kampeni huko Njombe.

View attachment 1561133View attachment 1561134
Ngoja waje wanasaccos! 😀
 
Back
Top Bottom